wimbo wenye hii chorus pliz
mama alisema vumilia aah... mateso
tena akasema yatakwisha aaah.

pia
norichiko... nimemfukuza
 
Mkuu kuna nyimbo ya juma nature inaitwa
"Inaniuma sana"
Aisee nimetafua adi YouTube lkn sijaipata [emoji27][emoji27][emoji27]
 
Jaman wimbo bolingo unaimbwa"verooo,veroooo,verooooo!!! inaitwaje please
 
Kuna nyimbo moja ya kikongo siijui jina wala aliyeiimba ila inaimba ivi " Muzinaa, muzina litata helipepesantu muzina litatanzambee muzina"

Naomba kama kuna mwenye nyimbo hiyo tafadhali anitumie maana nimejaribu kuitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani kwenu wana jamvi.
 
 

Attachments

Write your reply...habari naomba wimbo wa John Music unaitwa mama usilie pia wimbo wa rc kwaya unaitwa "Pendo langu ninakupa kwasababu wewe Bwana Mungu uliniumba"
 
Disco version moja ya nick minaj na Chris brown
Love more
Nimedownload site nyingi sana siupati
Zinakuja tofauti
 
Hii ngoma ya Mr. Paul umetisha sana mkuu, 20 years ago feels like yesterday! Ngoma iko clean sana.
 
La hashaa nasonga bila kuchoka mola niongoze njia ilionyookaaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…