Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Mimi natafuta Kazi ngumu wa Daudi kabaka ile yenyewe achana na ile ya youtube(ulizaliwa wewe ni kijana)
 
Jamani naomba mnisaidie nyimbo hizi,nazihitaji sana yan;
1-Shabani madobe (segere)
2-Mchiliku za zamani
Tafadhari ndugu zangu,mwenye nazo anisaidie.
 
Anaitwa V2 wimbo ni Nasonga mbele
Kuna wimbo umeimbwa na kikundi toka zbar unaimba hivi..

"Hivi sasa nasonga mbeleee... maisha yangu bila ya weweeee,...nawaachia yo wenzangu, umaskini mm ndani kwangu.,.

Nitafurahi sana nikiupata
 
Wimbo wa Justin kalikawe, ningekuwa na mabawa ningeruka km ndege lakini sisi binadamu tumeumbwa kutembea ardhini,
Msaada plz mwenye hiyo audio [emoji345]
 
Unamaanisha huu mkuu...?

GK MAMA

Na Ukongwe wangu huu kwenye muziki ila huu wimbo sikuwahi kuusikia kabisa.Nilikuwa mfuasi wa ECT ila huu sikuwahi usikia kabisa.Kwanini? Au ni nyimbo za kwenye album ?

Nimeupenda sana hasa aliposema mwaka 93 aliugua kipindi yupo boarding Mbeya na mama yake alilala chini kumuuguza.
 
Dakika Moja ya Ngwea wakuu

Au kama kuna mtu ana ile albamu yake ya NGE
 
mwenye wimbo wa hamza kalala nimekusamehe sitakusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…