Natafuta wimbo Wa SIKUTAKA by Unique sisters Original version siyo ule walioimba na Dudu baya
 
Nash mc mapendo... mwenye nayo aitupie aisee
 
Wakuu,hongereni sana kwa uzi kama huu,kuna baadhi ya nyimbo nazitafuta zikiemo
1.long distance lover-jay mo ft domokaya
2.mtoto wa raisi-qchief
3.ukibebwa jishkie-crazy buffa ft banana
4.nyimbo zote za war will!
Naomba kuwasilisha.
 
Upo kwenye album
 

Mkuu kuna wimbo flani wa Shaggy wa zaman hv ni dancehall anaimba Ayeyeye Ayeyeye kiitikio flan hicho sorry kama unao [emoji120]
 
Habarini wadau!? Naomba mwenye wimbo "Vituko Uswahilini" (remix) wa Suma G na Inspekta Haruni aupandishe jukwaani.
 
Mkuu nashukuru sana nimepata hii nyimbo assee nilikuwa naitafuta sikunyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…