KIOO na wengineo pls nazidi kukumbuka vyuma chakavu msaada
1. BMV_Barabara za Mwanza
2. ELUKA_Nikizipata
 
Oten _ a. k. a nyandindi ft chid benz
Oten _ mimi
Necessary noise _ ningetawala

mwenye hivyo vyuma chakavu tafa
 
Natafuta wimbo huu wanaocheza Kagame na Familia yake
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu KIOO nisaidie nyimbo ya joslin ile chorus yake ni "usione watu wanapita pita mtaan ukadhan, wana raha" nmeitafut yt nmeikosa
Na kibanda cha simu ya sogy
 
Mkuu KIOO naomba nyimbo ya Fanta sujui nani kaimba.

"fanta wangu...umeamua...kuniacha peke yangu mama kwa ajili ya pesaa!!!
mwenye pesa...kanipora nawe..eeh!"

Mwingine ule wa Bob Haisa,
"Kama wanipendaaa...nipe mgongooo...nipande unibebeee...mpaka kwa mamaaa...usichoke dadaaa...nipande taratibuuu...ukinifikishaaa...nitafurahi dadaaa!!!"
 
Fanta by Papii kocha
 
Mkuu KIOO nisaidie nyimbo ya joslin ile chorus yake ni "usione watu wanapita pita mtaan ukadhan, wana raha" nmeitafut yt nmeikosa
Na kibanda cha simu ya sogy
Ulisha tupiwa humu huko nyuma kwa kukusaidia lete namba nilupe whtsp maana hapa me umanigomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…