Oten _ a. k. a nyandindi ft chid benz
Oten _ mimi
Necessary noise _ ningetawala

mwenye hivyo vyuma chakavu tafa
HIZO ZOTE ZILISHAPAKIWA HUMU
KWA TUNAOFUATILIA HUU UZI TANGU MWANZO TUNAGUNDUA NYIMBO NYINGI ZINAZOOMBWA ZILISHATUMWA HUMU.
 
Dah,, huu uzi sio mchezo asee,,imebidi nirudi page za nyuma huki kusaka nyimbo mbali mbali na nimekutana nazo nyingi sana na bado sijazimaliza pages.

Shukrani za dhati ziwaendee mkuu KIOO na wadau wengine wote

Mkuu katika pita pita huko nyuma KIOO nimekutana na ngoma yako nimeisikiza zaidi ya mara 3,, ni bonge ya nyimbo asee,, beat kali, mashairi makali, btw unajua sana mkuu

Bado nipo
 
Mambo VP wakuu naomba mwenye nyimbo ya Kalapina -(Asiyekubali kushindwa ) na PABLo nyimbo inaitwa Mjanja ft Inspector Haroun
 
Dah,, huu uzi sio mchezo asee,,imebidi nirudi page za nyuma huki kusaka nyimbo mbali mbali na nimekutana nazo nyingi sana na bado sijazimaliza pages.
Yeah, ngoma zipo za kutosha uzi umeshiba inabidi memory iwe nzito kiongozi. Hahah.

Shukrani za dhati ziwaendee mkuu KIOO na wadau wengine wote
Kwa niaba ya wengine nasema asante sana kiongozi.

Mkuu katika pita pita huko nyuma KIOO nimekutana na ngoma yako nimeisikiza zaidi ya mara 3,, ni bonge ya nyimbo asee,, beat kali, mashairi makali, btw unajua sana mkuu

Bado nipo
Much respekt kwako mkuu. Thanks a lot brother. We kickin' it harder.

2KOPA1 BRO
 
Mambo VP mkuu ebana naomba nitumie Stereo nyimbo Chundabad ile uliyonitumia imezingua kidgo
 
Attachments

Kioo wimbo wake ni upi? Weka hapa fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…