Kuna ngoma mbili ambazo beat zake zilikuwa zinatumika kwenye kipindi cha "Je Wajua?" cha Radio Free Africa (sijui kama bado kinarushwa).

Mwanzoni mwa kipindi walikuwa wanatumia beat ya "Dancing Queen" ya ABBA, halafu wakianza kutaja rekodi na matukio mbalimbali walikuwa wanatumia beat nyingine. Nimejaribu kuutafuta wimbo wake nimeukosa. Ubaya hata beat yenyewe sina, otherwise ningetumia sound recognition kuutambua wimbo.
 
wadau hakuna mwenye ngoma ya dingi mandojo na domokaya
 
Kuna baadhi ya wenzetu humu wamefanya kazi ngumu na nzuri mno juu ya kudondosha ngoma hapa sasa tusiwe wavivu wa kushindwa kusearch tu maana sasa mtu anaomba wimbo ambao tayari post za nyuma upo. Post ni nyingi sawa lakini ndiyo maana kuna option ya kusearch kwenye post husika. Ahsante
 
Mkuu Kioo kuna nyimbo ya Mwana fa ya Binamu ile version ya kwanza ambayo aliitengeneza Producer Effector ambayo ipo kwenye album yake ya Unanitega naiomba pia kama unayo
 
Jamani ule wimbo wa Simba akifungwa huwa wanaupost sana .....Unaimbwa Congo yetu ...........unaitwaje ule wimbo nautafuta sana
 
Naomba wimbo wa neema ni cover iliyofanywa na ismael cc kioo
 
Mkuu,msaada wimbo wa banana zoro unaitwa nataka niwe nawe mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…