Mkuu KIOO nmerudi tenaa..

Nahitaji instruments ya nyimbo hizi..
Please for give me ya P Funk na Dully
Swahili ya Stereo wa Tamaduni Music

Pia kuna wimbo sjui ni Achimenengule Bend ( Sina uhakika na jina la Band ) unaanzaga na maneno haya..

'''Simbaa anangurumaa nchini Tanzaniaaah... Siiiimbaaaa anangurumaa nchin Tanzaniaaaa...*2

Eeeeaaaahhh Aungurumapo simbaaa, acheze nan.........'''
 

Aisee nipe basi kwanza mistari nipate ladha kiongozi.
 

Attachments

Mkuu Kioo nyimbo ya Mwana fa ya Binamu ile version ya kwanza ipo kwenya album ya unanitega
 
Mkuu unachanganya Mimi naongelea album ya machozi kuna nyimbo ya Lady Jay dee unaitwa nakupenda ni tofauti na hhuo distance unaosema
BINAFSI NIMEKUELEWA WIMBO UNAOUHITAJI JAPO KUNA WANA HAWAJAKUSOMA.
NI KWELI HUO WIMBO UNAITWA NAKUPENDA WA LADY JD NA ULISHATUMWA HUKU MARA 2 NA MIMI NILIUPATIA HUKU,
CHA MSINGI TOA NAMBA YAKO NIKUTUMIE WHAT'S UP SABABU KUUPANDISHA HAPA UNANIZINGUA.
 
Natafuta wimbo wa Sugu aliomshirikisha King Kiki, unaitwa Hapo zamani
 
Nyimbo za Album ya Mambo iko hukuu Taarabu imooo.
Side B kulikuwaga na kawimbo ka kwanza hivi

Mistari yake hii hapa
"Uliona ni mtaji kwa mirupo ya kutupwa, ukalivamia jiji kutaka mambo kwa pupaaa"

"Hivyo unavyomuona yeye anakula nami, sisi tumependezana, yaliyo mengi sisemi mimi "

"Hili penzi wala si mziziiii, fitina uongo achaaa, fanya yote hata uende koziii, mimi kocha wa makochaa"
 
BINAFSI NIMEKUELEWA WIMBO UNAOUHITAJI JAPO KUNA WANA HAWAJAKUSOMA.
NI KWELI HUO WIMBO UNAITWA NAKUPENDA WA LADY JD NA ULISHATUMWA HUKU MARA 2 NA MIMI NILIUPATIA HUKU,
CHA MSINGI TOA NAMBA YAKO NIKUTUMIE WHAT'S UP SABABU KUUPANDISHA HAPA UNANIZINGUA.
Namba yangu ni 0714540040 nitashukuru mkuu
 
Samahani natafuta wimbo wa mr nice sijui unaitwaje ila mashairi yanasema: upendo wetu ulianza tangu zamani,nani anajua tulikotoka sheri i love you Sheri I need you
 
Naomba wimbo nyimbo zifuatazo: hafsa kazinja wimbo unaitwa control. Mr paul wimbo unaitwa bui
 
M
Naomba wimbo flan unaimbwaga "iyee lelele mama, ye lele mama x2
Afu wanaenda nataka kurudi kwetu kwa baba na mama "
Waliimba pia kwenye msiba wa ruge..
Plz
Mkuu KIOO tunaomba huo wimbo tajwa hapo
 
Sema nimepata pata nyimbo kadhaa, ila huo sikuupata.
Huo wimbo umepotea sana...
Imebaki kumuuliza rafiki yangu mmoja.. Ni mkatoliki haswaa.
Kama hatakuwa nao ndo basi tena.

Hizo ulizopata unazisikiliza!?? Au zipo kama mapambo!?
 
Huo wimbo umepotea sana...
Imebaki kumuuliza rafiki yangu mmoja.. Ni mkatoliki haswaa.
Kama hatakuwa nao ndo basi tena.
Hizo ulizopata unazisikiliza!?? Au zipo kama mapambo!?

Inategemea na mzuka wa siku hiyo, ila kuna ambazo ni mara kwa mara nazisikiliza.
 
Inategemea na mzuka wa siku hiyo, ila kuna ambazo ni mara kwa mara nazisikiliza.
Siku ukijisikia kunyoosha kizungu unasikiliza zile nyingine!?au? [emoji5]

I wish uzisikilize hizi kila muda.
Huwa unasikiliza gospel tofauti na za RC?
 
Mimi hua nazitafuta sana za karungu parish yaani album yote.
Mwenye nazo naomba
 
Nipm namba yako nikuunganishe group la nyimbo za kikatoliki utapata kila wimbo uutakao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…