Siku ukijisikia kunyoosha kizungu unasikiliza zile nyingine!?au? [emoji5]

I wish uzisikilize hizi kila muda.
Huwa unasikiliza gospel tofauti na za RC?

Gospel chache sana nasikiliza, sana sana ni zile za 2008 - 2012. Za sasa ni chache sana.
 
Gospel chache sana nasikiliza, sana sana ni zile za 2008 - 2012. Za sasa ni chache sana.
Why 2008 hadi 12?
Kwanini Sio 2008 kushuka???

Nilitaka nikutumie za sasa.
Za zamani ninazo za miaka hiyo ya 90 enzi hizo wahenga tunakua kua
 
Why 2008 hadi 12?
Kwanini Sio 2008 kushuka???

Nilitaka nikutumie za sasa.
Za zamani ninazo za miaka hiyo ya 90 enzi hizo wahenga tunakua kua

Miaka hiyo ndiyo gospel zilianza kibiashara bongo: kina Rose Muhando, Bahati Bukuku, Upendo Nkone, Beatrice Muone (huyu aliimba tenzi za rohoni, before 2007), kidogo kulikuwa na kwaya ya Kijitonyama Uinjilist.

Hizo tu, zingine itokee ila hazinipi upako kama hizo.
 
Haha haha,
Hivi kwanini huwa mnasema gospel singers ni wafanyabiashara!?
Kwani kuna mtu huwa anagawa bure CD ama kazi zake!??


Kijitonyama ninawapenda, kuna ile Kijitonyama upendo group wapo vizuri, mtoni avangelical(wale wa Lulu)
Kilimanjaro revival, barabara ya 13(ulyankulu)
Hizi unazijua!?????
 

Barabara ya 13 (Ulyankulu) ninasikiliza wimbo wa Samsoni na Delila.
 
Hyo hapo, enjoy
Ahsante sana bwana mwamba. Aisee JF ni kiboko. Ni zaidi ya SHAZAM.

Kuna ule wimbo wa Jay Z unaitwa wherever you go (waiting for you).

Nimeu search humu sijauona. Pia you tube siupati kabisa.
 
Wakuu naomba nyimbo za chozi la mnyonge na ile kidedea za kina ndanda Kosovo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…