Umeona jina la Album bob??

Mkuu kuna ngoma za Nash niliziweka hapa wadau wakaweka hoja za msingi kuwa tuwa-support kwa kununua album za Hip Hop ni kama Elf 7 au haizidi Elf 10 ili wafaidi matunda ya kazi zao kama kweli tunaipenda na kui-feel Hip Hop mkuu.

Unafikiriaje hiyo hoja ya wadau unakubaliana nayo mkuu...? Au...?
 
Dah..
Wadau waliona mbali sanaa..

Sina pingamizi katka hili, ila kwa kuwa skufahamu kabla, basi nahitaji nafasi ya upendeleo ya 'Angalau ' ngoma 5 toka kwny album hiyo thru PM

Nko safarini aisee. Nahitaji madini ' Konk '
 
Usije mjini!
Kibabu cha maajabu! Na zingine kadhaa za Juma Mpogo!!

Na pia wimbo wa Q-chief mdau kasema unaitwa naanzaje!!
 

Attachments

Mkuu binswedi unaweza kunipandishia hapa ngoma ya huyu jamaa Jose Mara ft Mzee Yusuph ile yenye maudhui kama ya mduara?Kama unayo tafadhali nisaidie.

Asante!
 
......................Pia mtu anapata wasaa wa kupata nyimbo nyingine nyingi ambazo alikuwa anazipenda,sidhani kama kuna mtu anaingia hapa kutafuta wimbo mmoja tu au kila mtu anakumbuka na anazo nyimbo zote alizokuwa akizipenda mwanzo.
 
Natafuta nyimbo zifuatazo
1. Helena - Pea pea
2. Nisingeweza kuishi - Fresh P
 
Kizz Daniel - Yeba (huo wa kwenye. Video)
Nashukuru mkuu?,je unajua nyimbo za q chief za 2003/2004 pegine katika nyimbo hizo mbili naoutafuta mmoja unaweza kuwa ni yeye ameimba maana kuna sauti kama yake pia kama unazijua nyimbo za picco nitajie maana kuna wimbo ambao nautafuta una sauti kama yake.Ahsante
 
Mkuu kioo kuna wimbo mmoja nautafuta saana bado sijaupata kaimba mtu mwembamba ft dully sykes unaitwa nilipojua kusoma please fanya makeke kama unayo
 
Shukran mkuu, sema hii ni COVER, ningepata ile OG ingependeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…