View attachment Bana_Congo_Tosimbana_Original_Music_Full_Audio_Donat_Mwanza(256k).mp3Jamani ule wimbo wa Simba akifungwa huwa wanaupost sana .....Unaimbwa Congo yetu ...........unaitwaje ule wimbo nautafuta sana
Nakutumia soon
Mbilia bel- nadinaKuna wimbo wa kikongo hv kaimba mwanamama anaimba madina yoo madina yoo mama mnisaidie
Hebu check na hii kama sio yenyewe utasemaMkuu binswedi unaweza kunipandishia hapa ngoma ya huyu jamaa Jose Mara ft Mzee Yusuph ile yenye maudhui kama ya mduara?Kama unayo tafadhali nisaidie.
Asante!
Shukran mkuu, sema hii ni COVER, ningepata ile OG ingependeza zaidi
Kuna wimbo wa kikongo hv kaimba mwanamama anaimba madina yoo madina yoo mama mnisaidie
Vip? Nyimbo ya marehemu Complex na marehemu VivianAhsante sana kaka ila huyu hayati marehemu hiyo ngoma yake ndiyo nitakuwa nimemalizana nawe sana sana utakuwa unanidai wewe
Vip? Nyimbo ya marehemu Complex na marehemu Vivian