Jamani ni kama maoni tu kuna watu mnaomba nyimbo ambazo zinapatikana kwenye website kibao kabisa mfano kama hizo za akina emnem snoop dog na wengine zipo zimejaa tu sijui ni uvivu Omba wimbo ambao ni adimu kwako kuupata
Naunga mkono mana hata kama nyimbo ilishaombwa ukisearch Google huo wimbo na kuandika Jamii Forums unaletwa moja kwa moja kama ulishatumwa humu
 
Mkuu kioo nisaidie zifuatazo
Nelly ft Jaheim -My place
Keith Sweet -Twisted
R kelly- Did you ever
Tonny braxton- Break my heart
KCI &JOJO- Nyimbo zao zote ulizokuwa nazo
Westlife- Nyimbo zao zote ulizokuwa nazo

Aisee hizo ngoma zote si uzichukue you tube zipo ndugu.
 
Sijui unaitwaje ila unaimbwa hivi.kwako sisikii baby baby why nini kinacho kusumbua maumivu mateso yakwako yananikosesha hats rana .please anaye mujua msanii alo imba aninaidie
 
Wakuu kuna wimbo mmoja wa kiafrika old skul itakuwa Zouk. Kaimba mama mmoja hivi unaimbwa kwenye chorus

"aye ngaya ya ee,
aye kiboko ya mataifa,
aya ngaya ya ee,
aye kiboko ya mataifa eee."

Siujui jina. Nimejitahidi kutengeneza tune. Kwenye background kuna ka-string flani hivi kanapigwa kivivu sana. ...ti tii....ti tiii, ti tiii .... ti tiii

Msaada wakuu. Naupenda sana ule wimbo. Ulikuwaga unapigwa radio free enzi hizo.
 
Nachechemea- Hussein Jumbe

Koza - Suka Chile&Defao

Help please
 
Nenda youtube
unaitwa Mpongo love wa ndaya
 
Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…