Natafuta Mgumba sasa amezaa kama unao nitag
Naomba wimbo wa Honey J ft Spider nimetulia
Mkuu kioo kwema mkuu nikipata ngoma ya stopper rymes hatuuwezi urafiki ft farida zawadi kubwa sana kwako ya kutuma salamu kwa watu wawili
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Naomba wimbo wa Kikosi cha mizinga unaitwa asiyekubali kushindwa ndiye mshindani
Naomben wimbo wa kitambo kaimba SUGU Feat dully Sykes unaitwa usiku ndo huu
Wakuu mwenye nyimbo ya Hakeem 5 ft Dully Sykes Anapendeza naomba aiweke hapa tuweze kuipakua
Mwenye wimbo Najitoa mhanga wa Luteni kalama naomba tafadhari pia pilato na game pamoja na heshima zote za bwana misosi pia napokea simu ya ngwes
Waongezee na wimbo waNadhifa na wimbo wa taarabu Natanga na njia sijui aliimba Ali Star Kama sikosei.