No 1 na 3 ni Salute! Kuna na ile Utawamaliza Wote ya BDP ukizipata kabla yangu ni Tag plz!Mi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani.
Zikiwekwa nitag asee hasa Tangazo, ongeza na "Tunakupenda ya Jaypop Prospa"Always hauniangushi ninja langu!!
Una ngoma yako moja Kwangu tutasomana zaidi ktk hilo!
Sema nini man, kama zitapatikana Nyimbo Au
Album ya jamaa wa kuitwa -
The Kila Kitu
walikua wanafanya cover za mbele kiswahili kama vile Careless whisper na za kina chaka demus
Swahili By Nature
Walikua na wimbo Oehae wkimshirikisha Mack2B
Pia
Kafa by Trigger Mc
T Block Solgerz
sikumbuki jina la wimbo mbali na ule wa Msamiati ft Nemo huo ninao
Hard Mad - Kama Unanipenda (Raggatone)
Black Wa Uswazi - Sema Ooh
J Pop Ft Rama Dee - Utaweza
Bantu Mcz - Tangazo
BJB - Ndivyo Ilivyo
Mkenya ft Linex - Top Up
Zikiwekwa nitag asee hasa Tangazo, ongeza na "Tunakupenda ya Jaypop Prospa"
Mwenye nyimbo kati ya hizi
1.Bushoke_Neema
2.Kimondo band_Neli
3.Kata kiu band_Shangingi
Mwenye nyimbo kati ya hizi
1.Bushoke_Neema
2.Kimondo band_Neli
3.Kata kiu band_Shangingi
Msaada wa ngoma ya Joslin na Jose Mtambo, jina silifahamu ila ni collaboration
Naungana na wewe nongeza list kunaMi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani.