Mwenye wimbo wa Q CHIEF Unaitwa nikipata mashabiki anisaidie ni wakitambo kidogo 2002
 
Mwenye "Thabani Mwadobe" by segere anifanyie munaqasha
 
1-Easy to the I feat.Suma G-Demu Wako
2-Mchizi Mox-Kinyume Nyume
3-Q-Chief feat.Fanani-Mwana Mnyonge
4-Baba Levo-Mbunge wetu Anatucheka.
5-Ngoni Tribe-Tuserebuke(huu wimbo uliimbwa na wale jamaa walioimba Manungayembe,waliurekodi Bongo Records kwa Majani na upo kwenye album ya wasanii wa label ya Majani pa1 na nyimbo kama Kamua ya GWM)
6-Mitaa ya Home(kuna wasanii wa TMK waliimba huu wimbo; Hapa ndio maskani nyumbani ndipo tunapoishi sisi mitaa ya home.)
 
 

Attachments

 

Attachments

Nashindwa kuupandisha nyimbo zina alama ya kivuli...inaitwa -Listen when I say.
Nyingine inaitwa shaolin ninja ni balaa pia
 
Kunanyimbo ili imbwa na ddc mliman park...unasema "wajifanya wajua jua linakuwakia kwa kuwa unatambua kazi yangu ....tafadhali nimeuchafuta bila mafanikio mkuu
 
NAZIKUBALI SANA IZO NGOMA ILA MWENYEWE NIMESHAZIOMBA ILA SIKUZIPATA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…