Wadau nakumbushia nyimbo za
Ismail-upo nae
Jafarai ft banana zorro-ananipenda
Dully sykes-leah
Natanguliza shukrani telee
 
Mkuu KIOO naomba nisaidie wimbo unaitwa DEAR waliimba jamaa wa3 siwajui (wapi umekwenda dear umeniacha peke yng nani kakuongopea ukatoka ndani kwangu kutwa kucha me naliiia siamini macho yngu nakumbuka mazoea moyoni tele machungu)
 
Kuna wimbo unaitwa sukari na chai ameimba afande sele yeyote mwenye nao anisaidie nimeutafuta sana bila mafanikio
 
Natafuta wimbo aliimba Dully Sykes wakati amefariki Vivian na Complex
 
Niaje hatupatani...nashangaa nashangaa mimi kuoona...man dojo Kaya na Domo Kaya
 
Natafuta wimbo wa Bata boy wa Jos mtambo ft Ngwea,Fid Q,Adam mchomvu na Joslin,mwenye nao plz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…