Mkui Kioo tafadhali naomba unisaidie kupata nyimbo zifuatazo
Anakudanganya B love M
Busy SoulnFaith ft Pig Black
Kama huwezi Rama dee ft Lady jay dee
Nimpate wapi Richie Longomba ft Lady jaydee
Na Namtafuta mrembo wa Matonya
 

Attachments

"Kwankaja" mie naombaga ngoma hizi hapa tu nikizipata ntashukuru sana mpaka leo sijazipata

1.starehe gharama ya L.W.P MAJITU
2.Najitoa mhanga ya LUTEN KALAMA
3. Mshenga ya BANZA STONEft MANDOJO&DOMO KAYA
4.Mkao wa kula TMK MANYIGU
 
"Kwankaja" mie naombaga ngoma hizi hapa tu nikizipata ntashukuru sana mpaka leo sijazipata

1.starehe gharama ya L.W.P MAJITU
2.Najitoa mhanga ya LUTEN KALAMA
3. Mshenga ya BANZA STONEft MANDOJO&DOMO KAYA
4.Mkao wa kula TMK MANYIGU
 

Attachments

Mwenye nyimbo ya kimbunga asanteni kwa kuja remix naiomba
 
Mwenye wimbo wa juma bhallo moyo huna shukrani.kuna buku ya vocha natoa
 
Wadau habari za masiku?

Natafuta nyimbo ya Fred Saganda inaitwa Leta Story na nyingine yake sijaifahamu jina ila sio ile Raphael wala Nilikwenda..

Ntashukuru sana kuzipata hizo track hapa maana mtandaoni kote huko sijapata.

KIOO na wadau wengine wote nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…