"Kwankaja" dondosha hizi plz kama zitapatikana

1.Zote za unique sisters
2.dudubaya ft stara thomas SIKUTAKA
3.nyama ni nyama kicheche utamaliza bucha sikumbuki ni nani
4.Bwana misosi ft redsun HESHIMA
5.Dk John PANKI STAILI
6.soggy dog USINGIZI
7.soggy dog ANADADO
 
Heshima kwenu wakuu,naomba mwenye huu wimbo “MOJENJE TSABANA” wa Makhirikhiri aupandishe hapa.

Shukrani in advance!
 
ALBUM:FUNGA KAZI
KUNDI:HARD BLASTERS(HBC)
MWAKA:2000
Ilikua na ngoma 11.View attachment 1197548
Ilikua ni Album ya 3 ya HBC ikitanguliwa na BLUST NUFF na MAMBO YA MJINI-(kabla ya NIgga J ambae kwasasa ndo Prof J kujiunga HBC)
Asante sana mkuu... kwa kutukumbushs mbali.. Naomba unidondoshee ngoma ya Maalim Nash Mc - Maisha baada ta chuo..
 
Habari za majukumu wakuu,tafadhari mwenye nyimbo yoyote yaOMMY G afanye kutuma
 
1)Nahitaji nyimbo za unique sisters nyimbo zao za mwanzo mwanzo
2) Wimbo wa malisa ft luteni kalama bam bam video na audio please
 
Wimbo wa Asali wa Moyo- Inspector Harouuun tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…