Nimetafuta sana nyimbo ya mwana Fa jina lake sina wakika sana lakini ndani yake kaongelea msichana aliekuwa anasoma nae high school na life zima la shule yao,inanikumbusha mengi sana hio nyimbo ipo kama ile ya Jaymoo mya boarding.

Kuna sehem anasema

"Beatrice i miss u i miss u beatrice,"
"School nzima ilitambua kuhusu sisi,"
Mwenye kuweza kuipata msaada tafadhari
 
TUPATE ALBUM YA GANGWE MOBB
JINA:SIMULIZI LA UFASAHA
MWAKA WAKUZINDULIWA:2002
Ushukuliwe sana mana nlikuwa nautafuta sana wimbo Wa simulizi la ufasaha. Asee hauna wimbo Wa unique sisters unaitwa "sikutaka" original version?
 
 

Attachments

Demu wa kwanza - Mwanafa ft Belle 9
 
O ten mkuu Wa mkoa/kamishina daa msaada mweny nayo tafadhali
Jaman hii nyimbo nahiitaj sana O ten mkuu Wa mkoa/ Kamishina.....

Na Q chief/chilla .....Inaitwa mwambie ......ukimwona mwambie mwambie moyo wangu anautsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…