Naomba kujua aliyeimba wimbo huu, baadhi ya mashairi yake ni "NIKIKUMBUKA MAPISHI YAKO KISAMVU CHA NAZI, HATA KAMA KILALE KICHACHE..." Mwenyekumjua muimbaji wa bongo fleva naomba jina niutafute youtube tafadhali
 
Naomba kujua wimbo unaonsema najiribu kujiuliza bado cjapata jibu msichana Kama wew bado upo pekee yakoo oohhh baby somboraa somboraa haaa mwanaa sombaaa. Nyimbo inaitwaje ?
 
Naomba kujua aliyeimba wimbo huu, baadhi ya mashairi yake ni "NIKIKUMBUKA MAPISHI YAKO KISAMVU CHA NAZI, HATA KAMA KILALE KICHACHE..." Mwenyekumjua muimbaji wa bongo fleva naomba jina niutafute youtube tafadhali
Hivi wakuu hakuna anayeijua hii nyimbo kweli?
 
Ndugu wadau nautafuta wimba wa SINA KAZI(jiko limenuna) wa Mazimwi,
Pia kama kuna njimbo nyingine za hawa jamaa(Mazimwi) pia unaweza kutuwekea

Asante
 
Ndg zangu ntafuta wimbo mmoja hivi jamaa ameimba lafudhi ya kisukuma inaimbwa hivi"kimone mwana masanjaaaa. Ntakununua kabati kifuani kwako itameta meta cheni gold hutoweka vyombo kwenye kichanja ntakununulia kabati" kuna anaeijua ndg zanguni?? Au ameimba nani
 
Huu wimbo unasumbua sana, nishaomba majukwaa mbalimbali bila mafanikio na kwanza wengi hawaujui.

Cha kwanza tungepata jina ingekuwa rahisi!

Hiyo ngoma inaitwa Mwana Mkiwa utunzi Banza Stone akiwa na TOT Plus Band. Ila ngumu kupatikana nimeisaka kishenzi.
 
kuna wimvo sijui kaimba nani niliwahi kuusikia sehem nikiwa mdogo unaimba hivi kuna kipande nakumbuka
Nilimfata wangu mama nikaanza kumtukana/ kwamba anamloga wangu mwana

yaan jamaa anaimba kwa kulalamika tabia zake zimebadilika nini hamueshimu jad mama yake,, sauti yake ni kama Nas b yule aliliwa na twenty percent lakin nikisearch nyimno za nasb ile siipat
 
Jiko limenuna.., Zigg Zagga Crue ft Solo ipo humu. Ya mazimwi sijawahi kuisikia, ukiipata nitag
Ndugu wadau nautafuta wimba wa SINA KAZI(jiko limenuna) wa Mazimwi,
Pia kama kuna njimbo nyingine za hawa jamaa(Mazimwi) pia unaweza kutuwekea

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…