Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 306
- 103
Huu mwenyew anauuza.support kwa kununua kaz zake mkuuNaomba nyimbo ya Nash mc inaitwa beti wakuu
Upo ambao ni rmx wamefanya na dudu baya. Mi Nataka uloimbwa na unique peke yaoMbona upo youtube!?
Natafuta wimbo "NIONGOZE BWANA " wa glorious celebration audio tuu itatosha nisha google mpaka basi
Natafuta jina la huu wimbo mwenye kuufahamu
Watu kibao... waimbaji nadhani ni wateule mwenye kuweza kuuleta please
Natafuta wimbo "NIONGOZE BWANA " wa glorious celebration audio tuu itatosha nisha google mpaka basi
Jita man _Maisha nauomba huu wimbo