Mkuu Kizaazaa ya Jos na Kitambo kidogo ya BDP tafadhali. Pia kuna moja inaitwa Bwege mtozeni ya Radical Kids bro. Thanks.
 
 

Attachments

Msaada wa wimbo wa kalapina unaitwa Uwezo, kiitikio kinasema music taaluma yangu mashairi ndio nini sijui na huo ndio uwezo wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Repost wakuu.. Kwema?
Huu wimbk bado nausaka.

Wimbo wa kwaya flani ya watoto wa Makete, ya kipindi cha miaka ya 2008 kurudi nyuma (Sina uhakika mwaka exactly).
Ilikuwa inawekwa sana na kituo cha ITV.

Baadhi ya maneno "tumekuwa walezi, badala ya kulelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wimbo wa quartier Latin academia sdf nauomba uliopo YouTube low qt na unascrachi.
 
Wibo wa Unaitwa nimeona uwa ulipigwa na Kikosi Band,umerudiwa na msanii bonge la nyau,sasa mie natafuta huo aliorudia bonge la nyau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna "gospel" fulani walipiga wazungu na wakarekodia Sweden kama sijakosea.
"Eebwanaa umeinuliwaaa,katika kiti chako cha enzi. Utukufu heshima,vina wewe".
Na mwingine unaimbwa hivi,"ushindi kwa watuu,wa Mungu,ushindi kwa watuu,wa Mungu. Tunasonga mbelee,kwa nguvu za Mungu,hatuzuiliwi,tunaushindi"
Barikiwa
 
Kuna wimbo nautafuta sana wa Kmondo sound band unaitwa Neli umo ndani yupo Mangustino aliyeimba Njiwa msaada tafadhalini.
Cc: Flava90s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…