Naombeni wimbo Wa unique sisters unaitwa SIKUTAKA original version siyo ule waloimba na dudubaya
 

Attachments

Nautafuta huu wimbo ni wakiswahili ila una mahadhi kama ya kiharabu hivi
Lyrics "Aziz wangu wa huba, mpenzi wangu wa rohoni, Aziz wangu kipenzi mpenzi wangu laaziz" kaimba mwanamke anaeufahamu plz nitajie hata jina la msanii mi ntajua namna ya kuupata maana hata jina siujui!
 
Baadhi ya mistari inasema SHULE NDO INALETAGA SHIGIDA VUMILIA BABY YATAISHA harafu jamaa anaitikia BABY WHY WHY WHY WHYYYHHHHH?
Mwana dada ni kama chemical ila mwanaume ndo sijamjua ni nani mwenye huo wimbo anisaidie jamani wadau wa mziki.
 
Siijui jina ila Ni regge
Jamaa anaimba hivi


Maishe eh maisha ipo siku nami nitayapatia

kelphin kepph
 
Naomba wimbo wa Patrick Balisidya anamwimba Viki (jina silikumbuki)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…