bana imbwa
Member
- Feb 25, 2014
- 15
- 13
Nasonga Mbele - V2Salaam Wana Jf! Naomba Mnisaidie Jina La Wimbo Na Mwimbaji Alieimba Wimbo Japo Nilikua Bado Mdogo Sikuweza Kukariri Vizuri! Wimbo Upo Hivi
*maisha Yangu Bila Ya Weee
*nitakua Kifaranga Cha Kukuu
*mbele Yako Ewe Bwana Mwewee
*ntawaachia Hao Wenzanguuu
*wajaribu Kuishi Na Weee.
Nihayo Tu Nnayo Kumbuka, Kwenye Miaka Ya 99 Na 2000 Niliusikia Sana! Hivyo Waungwana Naomba Kujuzwa
kama sikosei ni bendi ya marquise original kamanyola mwimbaji simkumbuki vizuriNasonga Mbele - V2
wakunyumbaaaaah, bombiii hii nyumbii hii, "kandindi kandikulila kandindi kandikulila weee ugale wa mayau hunoga na chidoyo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi natafuta ule wa ngoni tribe wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manunganyembe