Kuna wimbo wamefanya Mapach aka Magenge. Wametumia beat moja ya wimbo wa rap toka USA niliusikia kwa redio . Kuna anayeufahamu?. Beat ile kama sijakosea ni ya rapper BlackRob.
 
Naomba hizi nyimbo wakuu..

Mad ice ni wewe
Na pia mad ice ready for dis.
 
Sahama wakubwa, msaada kuna nyimbo moja kaimba Real Wine vidio yake anaonekana Real Wine anjimwagia damu amejichora tattoo nyingi sana. Anayeijua anitajie jina tafadhari
 
Ohhhh....
Naona nimeingilia mlango wa kutokea, ingekua Sikinde, Kamanyola, MoroJazz na kadhalika pengine ningehusika
 
Kuna nyimbo moja siikumbuki jins
Anaimba 'au nikuchore wee ulimi ndio uamini nakupenda'
 
Naomba wimbo wa Wesu -Ngoja kukuche
Msanii huyu aliimbia studio za mwanza kipnd ngoma inatoka zilikuwepo kama za kinasajina walitoa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…