Wadau wa hiphop ya bongo
Leo mchana wkt nasikiliza XXL y clouds kuna ngoma moja ya mwana flan cjamjua jina lake na hyo nyimbo....ila ktk hyo nyimbo kuna verse flan humo jamaa kampitia young lunya na mayoung wengine...siukumbuki vzuri ila Nina kaidea ya verse. IPO kama hivi
"nyie mayoung young mnapewa promo, mnajifanya mnatoa freestyle session kumbe mnaandika....freestyle zenyewe hamna jambo" idea ya verse ndo IPO km hvyo.....nilikuwa nahitaji jina LA nyimbo na ikiwezekana na msanii kama kuna MTU yeyote anayemjua.......