Naomba wimbo wa mike t unaitwa mnyalu
Kiitikio chake m to za y to za wananiita mnyaluu natanguliza shukrani.
 
Tumia SHAZAM mkuu. Download toka playstore na ukiusikia ukipigwa fungua shazam itaunyaka na kukupa jina lake. Ila nahisi huo wimbo utakuwa "La La La wa Naught Boy ft Sam Smith". Unapigwagwa sana night clubs hasa strippers club.
Naupenda sana huo wimbo, na utakua ni wenyewe unaotafutwa na huyo muhusika.
 
Kuna wimbo hivi wa kisabato
Unaimba
" Kuwa kanisani hakutoshi, na kutoa sadaka hakutoshi, na kutoa zaka hakutoshi ila msalaba wa yesu"
Mwenye kuujua huo wimbo jina lake please.
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Naomba wimbo wa deo mwanambilimbi unasema mke Ni ndugu au rafiki Kama ni rafiki mbona anajari kuliko ndugu , nautafuta
Sana huo wimbo mwenye nao tafathari au utume hapa
 
Asee mwenye wimbo wa MWANA DAR ES SALAAM YA TWANGA PEPETA tafadhali.
 
Pia Kuna nyingine wa washkaji walimshirikisha Dully Sykes inaitwa Irene

"Irene siamini mpenzi , umeondoka duniani
Nakuombea nenda kalazwe pema peponi
Me ntazidu kukuombea ooh ooh ireneeeee"
Hawa kama Makole Hexagon Kundi la yule chalii aliyeimba Nifanye nini mwenzenu najuta.... niliyempenda mwanzo amenikimbia kisa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…