Apart from that, kuna nyingine walitoa before one minute, sema haikupewa air time ya kutosha, but ilikua bonge moja la ngomaOne minute
Ha ha ha hami natafuta wimbo mmoja wa south africa ulikuwa hit song mwanzoni mwa miaka ya 2000. Wimbo wenyewe unaimba wangata akieta so akieta so...
siukumbuki vizuri
ni huuu mkuu ula kuna mdau alinitumia huwa inanikumbusha sn home iringa.. thanks mkuuTalalilalila hii nayokupa ni hali halisi talalilalila sisi na wanyalu tunavyoishi kama ni huu nnao nielekeze jinsi ya kutuma nikupe
TkzeeHa ha ha ha
Ngoma tamu sana enzi hizo mkuu[emoji1] [emoji1]Ha ha ha ha
Nipe no yako ya whats app nikutumieAsee mwenye wimbo wa mr zumo usiku usiingie
Ukiupata nitag hata mm nautafutaNatafuta wimbo wa BIG JAHMAN unaitwa ANANIKUNYWA...
Nitakuwakea nyimbo zote za CCMNimeutafuta wimbo unaitwa ccm mbele kwa mbele nisaidieni nitaupata wapi chonde2 jamani
Tkzee-dlala mapantsula, ipo YouTube download mkuuNgoma tamu sana enzi hizo mkuu[emoji1] [emoji1]
Nilishaipata mkuuTkzee-dlala mapantsula, ipo YouTube download mkuu
Unaitwa Man is not hot by Big ShaqKuna jamaa anaimba kluuuuuuuu pumpumpumpuu sikia kenkenkenke
Nimeutafuta wimbo unaitwa ccm mbele kwa mbele nisaidieni nitaupata wapi chonde2 jamani
Nimeutafuta wimbo unaitwa ccm mbele kwa mbele nisaidieni nitaupata wapi chonde2 jamani