Wadau naombeni msaada nimekuwa nikiutafuta sana wimbo wa Upendo Nkone "Yesu aliniita njoo" nimeutafuta sana bila mafanikio
 
Kuna Wimbledon nautafuta sana ila Muimbaji na wimbo wenyewe siukumbuki
 
mm nataka kujua jina la nyimbo mpyaa ya ben pol akiwa na wasanii anaowasimamia kazi ya muziki...
 
Kuna ki wimbo nakisikia siku hizi clouds,sijui ni sauti ya Ruby au Nandy Siujui jina lake,wanautumia kama tangazo
 
Kuna mziki flan ivi bolingo kama ya congo ivi au ya bongo...jamaa anaimba "nipo tayariii...cjui nn alaf "nipo rayariiii... Mwenye kuujua jina asiee naupenda alaf kila sehem naukosa jina lake..ila kuuimba nauweza na kuushazam haukubali
 
Habari mi natafuta Sana nyimbo inaimbwa kaza wangu baba uniulumie wema wangu leo utajulisha km ni watoto fika kwetu kosa, ni huo naupenda mnoo
 
Nami nautafuta mkuu..ukipata niambiw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…