Mbona inagoma?Watu wanasema kutuma nyimbo hapa jf hawawezi nimeamua kutengeneza group la wats app ambalo watu watakuwa wana request nyimbo za kitambo mwenye nayo anatuma naomba watu wasitume vitu vingine tofauti na nyimbo ili tusitoke nje ya lengo la group nimeweka link hapo chin karibuni sana tu enjoy music mzuri wa zamani Old xkul music
Wa dini au?Simba wa yuda
Ndio-ndio,Huu uzi hauna tena msaada. Naona requests ni lukuki kuliko feedbacks.
Segere iyo muimbaji sijuiNatafuta wimbo wa
" Aeeeh Shabani Madobe anataka kumtola imwana, imwana nae kalela, kalela na migulu kabana"
Jina lake limenpotea ilkuwa hit miaka ile ya 2001 enzi hzo niko indian kota mtwara