Nauhitaji sana wa K basil, baadhi ya mistari yake ni

Siku moja ndotoni nikaotaa
Kwa mbali nikasikia unaniita
Ukajitokeza kwa pozi lenye utataa
Ndani ya khanga laini yenye kutepetaaa....
Nitashukuru sana wandugu
 
Nauhitaji sana wa K basil, baadhi ya mistari yake ni

Siku moja ndotoni nikaotaa
Kwa mbali nikasikia unaniita
Ukajitokeza kwa pozi lenye utataa
Ndani ya khanga laini yenye kutepetaaa....
Nitashukuru sana wandugu
K basil ft solo thang-
Wanipa raha
 
Kuna wimbo kashirikishwa Nuruel na mdada sijui anaitwa nan, baadhi ya mistar ya chorus

Wewe ndo nuru yangu ndani ya moyo wangu
Mimi ni nuru yako ndani ya roho yako
Nendaaa aaaaaa aaaaaa
 
Jamani kuna wimbo unaitwa uchona wa deo mwanambilimbi...na kuna wimbo fulani ulikua unapigwa kila siku jioni kabla ya habari redio tanzania miaka ya tisini...ni wimbo wa lingala ila chorus yake ilikua ina maneno" kata kanyama*2"
 
Jamani eeh kuna kawimbo flani hivi kalikua kanaanza kabla ya kipindi cha watoto miaka ya 2003 au NNE... Anaimba hivi......Tanzanie eeeh ......nchi yangu eeeh.....sura yake yavutiaa yakonaaa.....x2 nakumbuka hvo bass
 
Kuna wimbo kashirikishwa Nuruel na mdada sijui anaitwa nan, baadhi ya mistar ya chorus

Wewe ndo nuru yangu ndani ya moyo wangu
Mimi ni nuru yako ndani ya roho yako
Nendaaa aaaaaa aaaaaa
Huo wimbo kaimba mary lucas f. T nuruelly unaitwa nenda
 
Wakuu kwema? Aise kuna wimbo mmoja wameimba nadhani ni msondo ngoma ila sina uhakika kuna kipande kaimba marehemu TX Moshi anasema "tumezaliwa wengi lakini hatusaidiani......." naikumbuka hiyo sehemu tuu, anaejua jina la wimbo anitajie au kama anao atuwekee hapa.
 
Nauhitaji sana wa K basil, baadhi ya mistari yake ni

Siku moja ndotoni nikaotaa
Kwa mbali nikasikia unaniita
Ukajitokeza kwa pozi lenye utataa
Ndani ya khanga laini yenye kutepetaaa....
Nitashukuru sana wandugu
Nitumie namba yako pm nikutumie mkuu nimeshindwa uweka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…