Ni wivu ama wanahoja ya kusikilizwa: Wanawake wamjia juu Mchezaji Sadio Mane (31) baada ya kumuoa binti mdogo miaka 18

Washenzi kweli, Angekua maskin wangetia huo ushauri? Au angeolewa na lishangazi wangesema nini? Yani mtu ujipate na vibunda vyako upangiwa chombo ya kuvuta Alaaaah.
 
Bosa ya sadio mi juz nimepata ka 15 nikajua mdada wa miaka 22 nimemaliza namuuliza anasema 13 afu mi niko 30 jaman maisha haya ngoja ntakaoa
 
Bosa ya sadio mi juz nimepata ka 15 nikajua mdada wa miaka 22 nimemaliza namuuliza anasema 13 afu mi niko 30 jaman maisha haya ngoja ntakaoa
 
Huwa na washangaa sana wazungu kwamba 18 mdogo wakati kwao wanaongoza kuwa na ma single mother wenye umri wa miaka16 tena wengine hadi 14,,furaha yao muendelee kuzini #Evilbeings
Watanzania ndio 18 mdogo, sio wazungu au wazungu wa morogoro unaongelea?
 
Uko sahihi mkuu,

Lakini kwa binti wa miaka 18 kwa ulimwengu wa sasa ana mambo mengi sana, huyo kalelewa kiislamu sana

Nawaona wanavokuja kuniita feminist
kama Kulelewa Kiislamu Kunampunguzia Binti Kuwa Na Mambo Mengi Basi Ni Jambo Jema,binti Hatakiwi Kuwa Na Mambo Mengi Kama Fei Toto Ndo Maana Ndoa Za Kiislamu Zina Utilivu.Mimi Mwenyewe Jamaa Kaniinspire Nitatafuta Wa 18 Ingal Hata Hawa Wa 18 Kwa Sasa Mita Inasoma 100km Ila Wana Afadhal Kuliko Wa 25
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ETI VItako vya kuanzia asee
 
Mlisema bikra akiolewa analia, huyu anacheka mwanzo mwisho

Sema ana good smile ndani ya nyumba burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…