Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kuoa m2 uchi uko umechoka Kama gari za Pepsi jau sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best description our current society
Washenzi kweli, Angekua maskin wangetia huo ushauri? Au angeolewa na lishangazi wangesema nini? Yani mtu ujipate na vibunda vyako upangiwa chombo ya kuvuta Alaaaah.View attachment 2867581
Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki.
Kwa nchi kama senegal wanafuata sheria za kiislam na kiafrika ambazo zinaruhusu kuanza mahusiano na binti mwenye miaka 16 ila saido alimsubiri afike 18.
Kilichofanyika ni kwamba Mwaka juzi Sadio akiwa na miaka 29 alienda kujitambulisha kwa familia ya huyo binti kipindi ana miaka 16, Akaweka posa wamtunzie huyo binti atamuoa akifika miaka 18, kwa muda huo Sadio alichukua jukumu la kumlipia ada ya shuleni huyo binti, Shule aliyosoma inasemekana ilikuwa ni ya kidini.
Wanawake wengi mitandaoni wamelipukwa kwa hasira wakisema bado binti ni mdogo, Kwamba Sadio angetafuta hata mwanamke mwenye 25
Daaah wahuni mna misamiati mgumu sanaaa, Kwamba mzigo nyang'anyang'a ka gari bovu la enzi za mwalim kule special schools.Miaka 25 mwanamke wa kiafrika tayari mbususu ipo nyang'anyang'a
Mambo yao waachiwe wenyewe...
HakikaMambo yao waachiwe wenyewe...
Wee bwana acha zako sasa mie bwana na kibamia changu hichi mie niwachezea au wao ndio wananichezeaNa mzabzab kazi kuchezea watoto wa watu
🤣🤣🤣🤣Hiyo papuchi namba E,
Siyo hizi miaka 25 zishazeeka mbususu zimelegea kama gear lever za Fiat
Watanzania ndio 18 mdogo, sio wazungu au wazungu wa morogoro unaongelea?Huwa na washangaa sana wazungu kwamba 18 mdogo wakati kwao wanaongoza kuwa na ma single mother wenye umri wa miaka16 tena wengine hadi 14,,furaha yao muendelee kuzini #Evilbeings
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila kiukweli kitoto hicho sidhani hata kama kina akili vizuri
kama Kulelewa Kiislamu Kunampunguzia Binti Kuwa Na Mambo Mengi Basi Ni Jambo Jema,binti Hatakiwi Kuwa Na Mambo Mengi Kama Fei Toto Ndo Maana Ndoa Za Kiislamu Zina Utilivu.Mimi Mwenyewe Jamaa Kaniinspire Nitatafuta Wa 18 Ingal Hata Hawa Wa 18 Kwa Sasa Mita Inasoma 100km Ila Wana Afadhal Kuliko Wa 25Uko sahihi mkuu,
Lakini kwa binti wa miaka 18 kwa ulimwengu wa sasa ana mambo mengi sana, huyo kalelewa kiislamu sana
Nawaona wanavokuja kuniita feminist
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ETI VItako vya kuanzia aseeKwa sasa umri sahihi wa binti kuolewa ni miaka 16-18,maana wanawahi sana kubalehe!binti wa darasa la nne ana tumaziwa na vitako vya kuanzia[emoji44],miaka 50 ijayo mtoto wa miaka 11 atakuwa anaolewa,HADI KINYAAA[emoji3062]
UTANDAWAZI ULIKUJA NA MADHARA YAKE.
Kwa hiyo wale wanafunzi wa form six hawana akili sio?Ila kiukweli kitoto hicho sidhani hata kama kina akili vizuri