Ni yapi madhambi makubwa?

Ni yapi madhambi makubwa?

Allah hawezi nilipa kitu kwa kuwa simdai kitu na hana influence yoyote wangu
Jifunz kubaki na chuki yako ndani ya nafsi kuliko kusema au kuandika vitajavyo iangamiza hiyo nafsi
Hivi kuna watu walikua na viburi kama kina firauni? Wako wapi sasa?
 
Haya ni mawazo yako au Mungu ndio amesema hivi?
Hainapasi Mimi kumsemea uwongo Mwenyezi Mungu kwakuwa najua nitaulizwa Kwa haya maandishi yangu

Allah anasema mtu akianzwa kutokwa na roho hakika hakuna Toba juu yake.

Na wakati unataka kufa utajua mkuu,Ila wewe na Mola wako ndio mnajua inakuwaje.

Kwa Wacha Mungu hawa baadhi Yao hupata hisia kabisa kuwa anaondoka unaweza kuta anatoa kabisa maelekezo ya kulipa madeni yake na kutoa wasia na mawaidha kwa jamaa zake
 
Jifunz kubaki na chuki yako ndani ya nafsi kuliko kusema au kuandika vitajavyo iangamiza hiyo nafsi
Hivi kuna watu walikua na viburi kama kina firauni? Wako wapi sasa?
Sina chuki shehe imani yangu inaniambia nisiabudu miungu mingine ila Mungu hata wewe una haki ya kutomtambua Mungu ninayemuabudu mimi na kumtambua Allah Siwezi ladhimishwa kumtambua Allah.Samahani sana kwa kukukwaza
 
Kuvuta sigara sio dhambi ila ni makhuruh yaan ni karaha unawakaraisha wengine na zaidi ni hatari kwa afya yako... Udi na Ubani havina shida yoyote pia sijawahi kusikia Mtu anavuta Udi/Ubani
Ndio maana vijana wa kiislamu wanavuta sana yale masigara yenye harufu mbaya na wengine wanavuta bangi ndio wanaenda kwenye ibada
 
Duuuh hapo kuna watu wakifika huo mstari lazima macho yamewatoka, mijeredi 100?!
Mbona huku usukumani kupigwa fimbo 70,50,39 ni kawaida tu ukikutwa na hayo makosa kama wizi nk na watu wanapigwa hadharani mpaka ninapoandika sms hii kwa Mila zao Wala Haina shida....
 
Hapo 53, kuwaudhi waislam.....vipi kuwaudhi wakristo sio dhambi?
 
Sihangaiki kusoma maana najua mwandishi na kile anachoamini vyote vimepotea hakuna dhambi kubwa au ndogo
 
Sijaona kuteta,maana Allah sw kafananisha na kula nyama ya ndugu yako aliyekufa,bakora 80 kwa mlevi siyo hukumu ya Allah sw,kuvaa nguo kuvuka enka haikuharamishwa katika Qur'an,kumshirikisha Allah sw na kuua ni dhambi kubwa sana
Ndugu usikanushe Jambo ikiwa huna uhakika ..ndio Allah akasema ..
Fas alu ahl dhikr in kuntum la taalamun... Waulizeni watu wa utajo/wenye Elimu ikiwa ninyi hamjui...

Hadithi zimekuja kueleza ubaya wa Isbal.. kila kinachozidi kongo mbili Ni motoni... Na nyingine ..hatoingia peponi mvaa isbal..... Hizi zote zinaeleza ubaya wa kuburuza suaruali..

Allah ndio mjuzi zaidi
 
Kwetu sisi wanasema dhambi zote ni sawa! Hakuna dhambi kubwa wala ndogo,dhambi ni dhambi tu! Aliyeua na aliyesema uongo wote adhabu yao ni kwenye shimo liwakalo moto!! Halafu mtoa mada nikuhakikishie tu,huwezi kuishi bila kutenda dhambi! Ni ngumu mnoo as long as upo humu duniani! Omba tu neema ya Mungu!
Ni kweli dhambi zote ni dhambi lkn dhambi zinatofautina. Kumwangalia mwanamke kwa matamanio ni dhambi, jee dhambi hiyo ni sawa na kuzini?
Aidha mleta mada hajasema kwamba kuna watu hawatendi dhambi.
 
Na ukinywa pombe?
Dhambi soma hapo imeandikwa na unapigwa bakora 80 ukikutwa, Ila Sigara wewe na raha zako sio dhambi na ukivuta wala haupigwi bakora Ila tu usiwaudhi watu na ile mimoshi (mukhruh),
 
Ndugu usikanushe Jambo ikiwa huna uhakika ..ndio Allah akasema ..
Fas alu ahl dhikr in kuntum la taalamun... Waulizeni watu wa utajo/wenye Elimu ikiwa ninyi hamjui...

Hadithi zimekuja kueleza ubaya wa Isbal.. kila kinachozidi kongo mbili Ni motoni... Na nyingine ..hatoingia peponi mvaa isbal..... Hizi zote zinaeleza ubaya wa kuburuza suaruali..

Allah ndio mjuzi zaidi
Bukhari na Muslim siyo!!?..usihukumu mtu kwenda motoni au peponi kwa uhakika kupitia bukhari na Muslim, Allah sw aache kulisema Jambo litalompeleka mtu peponi au motoni kwenye Quran ukalipate kwa hekaya za Abu hurayra!?
 
Hiyo ni kusengenya ameitaja mkuu

Na kuhusu kuvaa nguo Chini ya viwiko vya mguu kuna hitilafu kidogo kutoka Kwa wanazuoni

Kuna hadith imepokewa kuwa Mtume (s.a.w) alikemea kuburuza nguo Chini Kwa kiburi, na kama unavyojua hii huweza kusababisha nguo ikaingia najisi na ikawa si tohara kwa kuswali.

Sasa kutokana na kutofautiana na uelewa wengine wanasema ikipita Chini ya vifundo ni mtihani na wengine hakuna ubaya,kubwa ni kutoburuza nguo Chini katika ardhi
Khitilafu kwa sababu halitokani na Qur'an, unadhani Allah sw ataacha kulitaja Jambo litalokupeleka motoni ndani ya Qur'an!?..ukamilifu was Qur'an uko wapi ikiwa haya ni kweli!?
 
Bukhari na Muslim siyo!!?..usihukumu mtu kwenda motoni au peponi kwa uhakika kupitia bukhari na Muslim, Allah sw aache kulisema Jambo litalompeleka mtu peponi au motoni kwenye Quran ukalipate kwa hekaya za Abu hurayra!?
Basi sawa ila angalia huo mlango wa kuwatukana maswahaba Ni wawaovu,,,muumini hawezi kuita hadithi za mtume kuwa hekaya za Abu Hurayrah
 
Back
Top Bottom