Ni yapi madhambi makubwa?

Ni yapi madhambi makubwa?

Sijaona kuteta,maana Allah sw kafananisha na kula nyama ya ndugu yako aliyekufa,bakora 80 kwa mlevi siyo hukumu ya Allah sw,kuvaa nguo kuvuka enka haikuharamishwa katika Qur'an,kumshirikisha Allah sw na kuua ni dhambi kubwa sana
Kuvaa isbali ni dhambi kwa mujibu wa Hadithi sahihi ya mtume

Jumla ya Fatwa

Utawala wa isbaal ikiwa ni mazoea na sio ubadhirifu

[https://files]

Swali: Ndugu ambaye jina lake ni la kiishara (Abu Muhammad) kutoka kwa Al-Zulfi kutoka Ufalme wa Saudi Arabia anasema katika swali lake: Katika Hadiyth isemayo kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kasema katika Hadithi maana yake. : Mwenye kuachia nguo zake yumo motoni. Nguo zetu ziko chini ya visigino, na hatuna nia ya kuwa na kiburi au kiburi, lakini badala yake ni tabia ambayo tumeizoea, kwa hivyo tumefanya haya yaliyoharamishwa? Je, mwenye kuacha nguo zake huru huku akiwa anamwamini Mungu yuko Motoni? Tafadhali shauri. Mwenyezi Mungu akulipe.

Jibu: Imethibiti kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kwamba amesema: “ Kilicho chini zaidi ya vifundo vya miguu ya nguo ya chini kimo Motoni.” Imepokewa na Imaam Al-Bukhari katika Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Watu watatu ambao Mwenyezi Mungu hatasema nao Siku ya Kiyama, wala hatawatazama, wala hatawatakasa, na watapata adhabu chungu. huvaa vazi lake la chini, na mwenye fadhila.Katika aliyotoa, na mwenye kutoa mali yake kwa kiapo cha uwongo, Imam Muslim aliiingiza katika Sahih yake, na hadithi kwa maana hii ni nyingi, na zinaashiria kukataza kabisa isbaal, hata kama mmiliki wake anadai kwamba hakutaka kiburi na kiburi; Kwa sababu hiyo ni njia ya kiburi, na kwa sababu ya ubadhirifu na kufichua nguo kwenye uchafu na uchafu.
Ama ikiwa amekusudia kwa kiburi hicho, basi jambo hilo ni kali zaidi na dhambi ni kubwa zaidi; Kwani Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “ Mwenye kuburuza vazi lake kwa kiburi, Mwenyezi Mungu hatamtazama Siku ya Kiyama .
Ama mwanamke amefaradhishiwa nguo zilizolegea zinazofunika miguu yake.
Ama yale yaliyothibiti kutoka kwa Al-Siddiq , Mwenyezi Mungu amuwiye radhi , kwamba alimwambia Mtume ( Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Nguo yangu ya chini hulegea isipokuwa nikijitolea , basi Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, zikamwambia: Wewe si miongoni mwa wanaofanya hivyo kwa kujivuna. Kwa sababu hakukusudia hilo, na hakukusudia kujionyesha, na hakuliacha hilo, bali aliahidi kuliinua na kulisimamisha.
Hii ni tofauti na yule aliyemlegezea kimakusudi, kwani anatuhumiwa kuwa ana nia ya kujionyesha, na kitendo chake ni njia ya kufanya hivyo.
Ni wajibu kwa Muislamu kutahadhari na yale aliyoharamishiwa na Mwenyezi Mungu, na kujiepusha na sababu za ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, na kuacha katika mipaka ya Mwenyezi Mungu, kwa kutaraji malipo yake na kuogopa adhabu yake, kwa mujibu wa maneno ya Mwenyezi Mungu :وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانْتَهُوا وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ [الحشر: 7] وقوله  : تِلْكَ حُدُودُ اللَّهِ وَمَنْ يُطِعِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ يُدْخِلْهُ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَذَلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ۝ وَمَنْ يَعْصِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَيَتَعَدَّ حُدُودَهُ يُدْخِلْهُ نَارًا خَالِدًا Humo atapata adhabu ya kufedhehesha [An-Nisa: 13-14] Mwenyezi Mungu awajaalie Waislamu kufaulu katika kila linalowaridhia na kuwasahihisha mambo yao katika dini yao na dunia yao, kwani Yeye ndiye muwajibifu zaidi
 
Uzito huo wa adhabu na ghadhabu za Allah sw asiseme kwenye Qur'an!?..bukhari (muajemi) kaanza kazaliwa 800AD,miaka 200 baada ya kifo Cha mtume saw,kaanza kusanya hadithi katikati ya 800AD,1000km toka Makkah,miaka 200 hadithi zipo kwa mdomo yeye ndo akaanza kukusanya na kuziandika,unawekaje sambamba kitu Cha hivyo na Quran tukufu!?..yaani kwa nini niamini maandishi ya bukhari ni wahyi!?
 
Wewe una viashiria ukafiri ,,Aya zimekuja nyingi zinazoamrisha kumtii Allah na mtume wake,,ama kusema Mimi naifuata Quran na hadithi sizitaki huo ni ukafiri,,..
Abubakr,Omar ,Othman na Ali ndio vipenzi vya mtume vya Karibu kabisa kwa maana wao ndio wa Mwanzo kuukubali uislamu,,

Huo uislamu mnaousimika nyinyi mashia Bila Maswahaba Ni Ubatili mtupu..
 
Mara nshakua shia,nshakua kafiri!!..unathibitisha vipi maneno ya bukhari na Muslim ni kweli maneno ya mtume ikiwa hao wawili wamezaliwa uajemi/Iran miaka 200 baada ya mtume Saw kufariki!?..na zaidi wakikusanya hadithi 1000km toka Makkah!?..fikiria Leo ukusanye maneno ya mtu aliyefariki mwanza 1822,maneno yake unayakusanyia dar!?...acha jazba,fikiria,changanua
 
Wewe ni Shia au ahmadiya ,,hakuna muislamu mwenye ufahamu Kama wako yaan hata ukiwachukua Wala maulid hawawezi kuwa na ufahamu Kama wako
 
Mjibu kwa hoja badala ya kumpachika maneno amekuuliza swali zuri sana ulipaswa kulitafutia jibu kabla ya kumshutumu
 
Wewe ni Shia au ahmadiya ,,hakuna muislamu mwenye ufahamu Kama wako yaan hata ukiwachukua Wala maulid hawawezi kuwa na ufahamu Kama wako
Pole Sana,una uhaba wa kujua mambo,hujihangaishi na hoja...ahmadiya na shia Wana hadithi zao,Mimi hadithi ambazo Sina shida Nazo ni za tawheed,za fiqh hapana,maneno/wahy wa mtume saw hauwezi acha andikwa kipindi chake,endelea kumsubiri nabii ISSA arudi Kama hadithi zisemavyo ilhali Qur'an haikusema,wayahudi wamewaweza,ukipata muda msome abdallah bin sabai
 
Unachanganya mambo Sana ,,kusema kuwa eti akina imam Muslim na Buhari kuwa walizaliwa siku za usoni hivyo hayakubali kazi waliyoifanya katika uislamu ,,Ni dhahiri una ufahamu finyu,, hujui Chain of Narrators kutoka kwa mtume mpk tabi tabiina
 
Sheikh hii dini Mimi naisoma tangu 1997,nimesomeshwa Kisha nikaisoma na naendelea kuisoma,mtume saw,swahaba,tabiina,tabii tabiina...vizazi vingapi hivyo!?..hapo mambo yapo oral tu mpaka bukhari na Muslim walipocompile!!.. narration yenyewe ni utapeli tu,kwamba imepokewa kutoka kwa a,kwamba b alimsikia c akisema kuwa mtume wa Allah alisema desh desh,halafu unaifanya fatwa!!!..?..Hadith ndo zinasema mzinzi mwanandoa auawe,mlevi apgwe bakora,mtoto wako wa nje ya ndoa unaweza oa,mtu akiritadi auawe,nabii ISSA atarudi,mwanamke akiwa hedhi hatakiwi kufunga,haya yote kwenye Qur'an hayapo!!..so bukhari na Muslim ndiyo Qur'an yenu
 
Mh ETUGRUL BEY Kazakh destroyer
 
Uzito huo wa adhabu na ghadhabu za Allah sw asiseme kwenye Qur'an!?..bukhari (muajemi) kaanza kazaliwa 800AD,miaka 200 baada ya kifo Cha mtume saw,kaanza kusanya hadithi katikati ya 800AD,1000km toka Makkah,miaka 200 hadithi zipo kwa mdomo yeye ndo akaanza kukusanya na kuziandika,unawekaje sambamba kitu Cha hivyo na Quran tukufu!?..yaani kwa nini niamini maandishi ya bukhari ni wahyi!?
Ww ni Muislamu jina bila ya shaka yni Dunia ya kiislamu wanaamini ivo vitabu ww unavikataa kma nani ety
 
Uko outdated,google authenticity of bukhari and Muslim,Kisha fuatilia mijadala,ni Kama suala la kufunga mwezi kwa kuuona au uandame popote lilivyoanza kwa hapa tz,lilianza 1980s,Leo ndiyo lipo hadhiri,miaka 50 mbele bukhari na Muslim au source ya Hadith ya dhehebu lolote lile litakua na wapingaji wengi
 
Sheikh hii dini Mimi naisoma tangu 1997,nimesomeshwa Kisha nikaisoma na naendelea kuisoma,mtume saw,swahaba,tabiina,tabii tabiina...vizazi vingapi hivyo!?..hapo mambo yapo oral tu mpaka bukhari na Muslim walipocompile!!.. narration yenyewe ni utapeli tu,kwamba imepokewa kutoka kwa a,kwamba b alimsikia c akisema kuwa mtume wa Allah alisema desh desh,halafu unaifanya fatwa!!!..?..Hadith ndo zinasema mzinzi mwanandoa auawe,mlevi apgwe bakora,mtoto wako wa nje ya ndoa unaweza oa,mtu akiritadi auawe,nabii ISSA atarudi,mwanamke akiwa hedhi hatakiwi kufunga,haya yote kwenye Qur'an hayapo!!..so bukhari na Muslim ndiyo Qur'an yenu
Acha uongo wewe mvaa rozari ,,
 
Kuvuta sigara sio dhambi ila ni makhuruh yaan ni karaha unawakaraisha wengine na zaidi ni hatari kwa afya yako... Udi na Ubani havina shida yoyote pia sijawahi kusikia Mtu anavuta Udi/Ubani
Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwani maulamaa wamekubaliana kuwa kama utakufa kwa huo moshi yaani upate cancer kwa ajili ya sigara au maradhi yaliyosababisha na sigara na ukafa
Adhabu yake ni kubwa kama umejiuwa

Wameliongelea sana hili na pia ni israf kwa maana matumizi mabaya ya pesa
 
Ww ni Muislamu jina bila ya shaka yni Dunia ya kiislamu wanaamini ivo vitabu ww unavikataa kma nani ety
Huyo si muislamu hakika ,yaani hata angekuwa Shia asingekuwa na huo uongo wake,,
 
Muuaji anakua sawa na msema uongo!
Mchawi anakua sawa na msengenyaji!

Huwezi kuishi bila dhambi lakini zingine zinaepukika na zingine zinatofautiana kwa ukubwa wake
Mbele ya Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo. Zote ni dhambi uwe umeua au kusema uongo.
Unafikiri aliyeua atahukumiwa halafu wewe uliyesema uongo utasamehewa au kupunguziwa adhabu?
Kwenye ukristo hakuna dhambi kubwa wala ndogo. Zote ni dhambi.
 
Back
Top Bottom