insuperable
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 299
- 243
Umemaliza kila kitu,naomba sana awe yeye anaefata
Tuwe wakweli hapa, hulka za Bashiru Ali na Baba wa Taifa pamoja na Magufuli zinarandana sana sana,hata ukimwangalia usoni anaonekana afanyi mambo ya usanii ni mzalendo kweli kweli,msikilizeni anapo jieleza mbele ya mkutano au kongamano one could feel ana karma ya ziada ie si binadamu wa kawaida - wengi watanipinga na kumzulia mambo na kashfa za kutunga tu ili kumwaribia sifa -lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Mtanzania mwenzetu huyu ni jembe sana.