johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mo anamsubiri wamalize sakata la Simba
Adui yake bashe kapata?Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Alikuwa anashinda kwenye mitandao ,anasifia na kujipendekeza.Lakini Kigwa si ni Mbunge ? Au Ubunge siyo ajira ?
Kumbe unamjua?Yule ni kichwa maji tu.
Ni mpigaji mzuri sana.
Halafu asiyemtaka kaja.
Kigwangwala anatupwa nje ya baraza la mawaziri, hasimu wake Profesa Adolf Nkenga anaingia barazani!
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Dr Kigwangalla alishamsamehe MO!Mo anamsubiri wamalize sakata la Simba