Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Adui yake bashe kapata?
 
Yule ni kichwa maji tu.
Ni mpigaji mzuri sana.
Halafu asiyemtaka kaja.
Kigwangwala anatupwa nje ya baraza la mawaziri, hasimu wake Profesa Adolf Nkenga anaingia barazani!
Kumbe unamjua?
Akahamishe Ng'ombe alioficha Rukwa kwa mmiliki wa mabasi ya SUMRY na tuwaone kwenye tamko la maadili ya viongozi wa Umma. Amedhulumu sana Ng'ombe wa Wasukuma waliokuwa wanakamatwa kwenye hifadhi.
 
Ijapokuwa uteuzi hufanywa na binadamu,ila kibali hutoa Mungu Mwenyezi....

Aliteuliwa...akatenda kadri ya uwezo wake....

Uteuzi kamwe hauwezi kuwa ni permanent post....

Mh.Kigwangalah atabaki kuwa ni dokta na mbunge....

Maisha ni safari na ya KESHO NI FUMBO....
 
Ataongeaje lugha moja na vijana na ni mbunge?

Alipiga dili za kutosha wakati wa JK na sasa pesa ya kifurushi cha VPN anayo kwa hiyo ataendelea kuwepo sana tweeter
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Watu wameanza kufukua makaburi _joy__joy__joy_ kosa la  @hamisi_kigwangalla amewaambia wa ( 62...jpg
 
Bado anapiga pesa kupitia ubunge

Hata hivyo alikwapua pesa nyingi sana alivyokuwa waziri so bado hazijaisha
 
Back
Top Bottom