johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Ubunge ni uwakilishi!Lakini Kigwa si ni Mbunge ? Au Ubunge siyo ajira ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunge ni uwakilishi!Lakini Kigwa si ni Mbunge ? Au Ubunge siyo ajira ?
Marupurupu ya wizara ya utalii unafananisha na kamshahara ka ubunge??Lakini Kigwa si ni Mbunge ? Au Ubunge siyo ajira ?
Ubunge Ni ajira tosha,angekosa kabisa na Ubunge hapo angeimba vizuriAliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Tunarudi kule kule!
Kwani ubunge cyo ajira?Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Kapoteza uwaziri siyo ubunge bado anaendelea kuvuta milion 12 yake kwa mwezi bado ana ajira tena ajira yenye mshahara mnono.Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Asingelilia pikipiki za Mo wa Wekundu wa msimbazi!Kigwangala ameshatoka huko kwenye kujiajiri kitambo sana kwa sasa yeye mwenyewe ameajiri na anaajiri.
Ubunge ni uwakilishi!
😲Bado anapiga pesa kupitia ubunge
Hata hivyo alikwapua pesa nyingi sana alivyokuwa waziri so bado hazijaisha
Nina pikipiki za Mo!"Ninalima,
Ninafuga,
Nina kampuni ya usafirishaji,
Nina Chuo cha afya"
Alisikika mpambanaji huyo akisema kuwaambia vijana kuwa ni muda wao kufikiria nje ya box.
Marupurupu ya wizara ya utalii unafananisha na kamshahara ka ubunge??
Malipo ni hapa hapa ***** zao!Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Wapi wa kudadavuliwa?!Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Sidhan kama uko sahihi, pale alipo 'kigwa' .yaani ubunge ni ajira tosha.Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe mwehu kuanzisha chama cha siasa mpaka uwe na hela!Zito Kabwe katajirikia Ufisadi na wizi wa Ubunge na hajawahi kuwa Waziri, ana hela mpaka anaanzisha Chama cha Siasa na kukiendesha, ...
Hawezi kuongea lugha moja na vijana waliopo kijiweni. Huyu bado ni mbunge. Mpunga na marupurupu monthly hakosi 10M+. Anakopesheka bank. Lots of advantages..Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe mwehu kuanzisha chama cha siasa mpaka uwe na hela!
Ungesema Zito anahela mpaka mpaka kakamilisha maghorofa yake mapacha pale karibu na St. Ģasper ningekuelewa!