Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani ubunge cyo ajira?
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Kapoteza uwaziri siyo ubunge bado anaendelea kuvuta milion 12 yake kwa mwezi bado ana ajira tena ajira yenye mshahara mnono.
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Malipo ni hapa hapa ***** zao!
Tunafia chama, halafu Silinde, Waitara, Molele, yani hadi Mwambe wanakula uteuzi sie tunatukanana hapa!
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Wapi wa kudadavuliwa?!
 
Sidhan kama uko sahihi, pale alipo 'kigwa' .yaani ubunge ni ajira tosha.
Hivo acha 'upopoma'
 
Zito Kabwe katajirikia Ufisadi na wizi wa Ubunge na hajawahi kuwa Waziri, ana hela mpaka anaanzisha Chama cha Siasa na kukiendesha, ...
Wewe mwehu kuanzisha chama cha siasa mpaka uwe na hela!

Ungesema Zito anahela mpaka mpaka kakamilisha maghorofa yake mapacha pale karibu na St. Ģasper ningekuelewa!
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Hawezi kuongea lugha moja na vijana waliopo kijiweni. Huyu bado ni mbunge. Mpunga na marupurupu monthly hakosi 10M+. Anakopesheka bank. Lots of advantages..
 
Wewe mwehu kuanzisha chama cha siasa mpaka uwe na hela!

Ungesema Zito anahela mpaka mpaka kakamilisha maghorofa yake mapacha pale karibu na St. Ģasper ningekuelewa!

Sasa unafikiri kuanzisha Chama cha Siasa na kukiendesha hauhitaji hela ?
 
Nikuteuwe uwe waziri wangu
Alafu unakwenda kubishana na wapiga kura wangu pale Simba
Ulitaka simba watunyime kura aya kaa pembeni nenda ukagombanie uongozi pale Simba
Nje ya box jumba jeupeeee
 
Back
Top Bottom