Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaNa vile alivyo na 'haiba' ya Kupenda Kucheka mara kwa mara ninahisi tokea Jana hata hadi muda huu bado tu anamcheka 'Mkosaji' na 'Adui' yake.
Muoneeni huruma huyu jamaa maana mnamsema sana mkali wetu wa kupost
Hatari sana Mkuu ,Ngoja tusubiri story zake mpya za "NDANI YA BOX" maana "NJE YA BOX" kashatuhadithia sana.Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Naikumbuka, yani aliwafanya kama watoto wadogo shuleni. Mzaha au sio mzahaMzaha au Siyo mzaha?........hahahaaaa!
Mo ni mtu smart sana. Ni Alumni wa chuo pendwa U.SMo Dewji nae ana 'Machale' kweli kweli kwani angethubutu tu Kutoa 'Tukutuku' zake na Kumpa akiutegemea Uwaziri alioutegemea ingekula Kwake.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mo Dewji nae ana 'Machale' kweli kweli kwani angethubutu tu Kutoa 'Tukutuku' zake na Kumpa akiutegemea Uwaziri alioutegemea ingekula Kwake.
Chukua tafsiri unayoielewaMzaha au Siyo mzaha?........hahahaaaa!
Mimi Kama ndo alinirusha kichura namfata nikamrukishe kichura nae maana ni raia tu sasa hivi baada ya ndumba kuexpire Kama bashiteNinasikia Jamaa baada ya Kuona 'Wa Poti' wake anamkubali 'akajiaminisha' kuwa na hili atakuwemo pamoja na 'Kuroga' mno tu, ila Kaliwa Kichwa.
Huko tweeter anasemaje?Maana wengine hatuna vpn
Raia haturushani vichura hovyo hovyo ukizingatia wote tunakuwa hatujateuliwa...Mimi Kama ndo alinirusha kichura namfata nikamrukishe kichura nae maana ni raia tu sasa hivi baada ya ndumba kuexpire Kama bashite
Katibu mwenezi wa CCM ajayeKigwa boy na mwenye mkoa wake wote bench chezea kichwa kibovu weye
Mzee wa nje ya boxJamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Mbaya zaidi ni kumsema mtu huku mitandaoni na mtu huyo ana pesa na vyanzo vingi zaidi ya yule anayesema huku JF..ni kujisumbuaJamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Yaani huyu mbunge wangu akinikera sana kwa tukio hili, siku ya sherehe, pass out mbele ya familia zao unawarusha kichura. Shenzi sana.Yule Bwana aliwapigisha wenzio push-up Kama watoto wadogo. Leo hana amri yeyeto labda kumuamrisha mkewe
KigwaJamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Pesa sio ishu kama pesa alikuwa nazo kabla hata hajawa waziri ila cheo ndio anachosimangwa nacho maana alituona vijana kwa wazee hatuna maana.😂Mbaya zaidi ni kumsema mtu huku mitandaoni na mtu huyo ana pesa na vyanzo vingi zaidi ya yule anayesema huku JF..ni kujisumbua