Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Ninasikia Jamaa baada ya Kuona 'Wa Poti' wake anamkubali 'akajiaminisha' kuwa na hili atakuwemo pamoja na 'Kuroga' mno tu, ila Kaliwa Kichwa.
Mimi Kama ndo alinirusha kichura namfata nikamrukishe kichura nae maana ni raia tu sasa hivi baada ya ndumba kuexpire Kama bashite
 
Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Mbaya zaidi ni kumsema mtu huku mitandaoni na mtu huyo ana pesa na vyanzo vingi zaidi ya yule anayesema huku JF..ni kujisumbua
 
Back
Top Bottom