Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Halafu my friends, ladies and gentlemen, Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi? which is which there my friends, ladies and gentlemen?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hili nalo watakuja wakupinge, me sijui wanachadema wanataka nini... Itakuwa Mbowe huko aliko anajutia sana na hajui alikosea wapi hata wakamgeuka! Chadema ni taasisi nyepesi sana kuiongoza, kila kitu kwao ni 'Ndiyo mzee!'
 
Unajua maana ya tapeli lakini? Yule sio tapeli ni mtengeneza njia kwa Taifa hili linalohitaji mabadiliko
kulikoni haaminiki na aonekane kama tapeli wa kisiasa ndani ya chadema huyo mtengeneza njia gentleman? :NoGodNo:
 
Unajua maana ya tapeli lakini? Yule sio tapeli ni mtengeneza njia kwa Taifa hili linalohitaji mabadiliko
SAMAHANI MKUU, NI NJIA IPI UNAYOIKUSUDIA? UNAWEZA KUTOA MIFANO KIDOGO LABDA HUYO LISSU ALIWAHI KUFANIKIWA KTK LIPI KUTOKANA NA MISIMAMO YAKE YA KUSHUPAZA SHINGO DHIDI YA SERIKALI?
 
SAMAHANI MKUU, NI NJIA IPI UNAYOIKUSUDIA? UNAWEZA KUTOA MIFANO KIDOGO LABDA HUYO LISSU ALIWAHI KUFANIKIWA KTK LIPI KUTOKANA NA MISIMAMO YAKE YA KUSHUPAZA SHINGO DHIDI YA SERIKALI?
Ngoja tuone sasa anadhani stawezs
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same tiLLme unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladises and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi ka awa wanachadema?

Je,
hii nediyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupUingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
CHAWA NA MALAYA WA KISIASA KATIKA UBORA.Mwaka huu CCM wasipokupa U-DC utakuwa kama ndugu zako kina jingalao johnthebaptist USSR
 
huwezi kushindana na mtu aliyeshindikana na risasi! Lissu ni mpango wa Mungu kwa watanzania.
No reforms, No elections!
Mkuu hapa umejiaibisha. Ni kama vile unataka kuleta mambo ya kiroho kwenye siasa. Hata hivyo ngoja nikusanue LISSU anapo sema na kuhamasisha 'no reforms, no election' anachomaanisha ni 'NO ELECTION, NO REFORMS' wee subiri august utamjua vizuri huyo LISSU.
 
Wenyewe wamemwamini ndiyo maana walimchagua,, ss tuendelee na ya kwetu chama chetu cha CCM
 
Nani huyo ambae hamuamin na ni nani anamuona tapeli ukiacha nyie chawa msio na vichwa na mikia iliyokwisha tembezwa bakora
 
huwezi kushindana na mtu aliyeshindikana kwa risasi! Lissu ni mpango wa Mungu kwa watanzania.
No reforms, No elections!
relax gentleman,
na ueleze wadau kwa kifupi tu,
kwanini anapingwa na wanachadema wenzake huyo alieshindikana na ambae ni mpango wa Mungu?

kwanini aonekane kama tapeli wa kisiasa gentleman?:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom