Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

SAMAHANI MKUU, NI NJIA IPI UNAYOIKUSUDIA? UNAWEZA KUTOA MIFANO KIDOGO LABDA HUYO LISSU ALIWAHI KUFANIKIWA KTK LIPI KUTOKANA NA MISIMAMO YAKE YA KUSHUPAZA SHINGO DHIDI YA SERIKALI?
gentleman,
hilo swali ni zito mno,
na ni lazima litamuelemea sana huyo muungwana:pedroP:
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Utamtukana matusi yote, lakini nyie CCM na chawa wa mama kawashikeni pabaya kwelikweli.

NO REFORM, NO ELECTION
 
We usiemuamini ndo utupe sababu.
nadhani iko wazi my lady, kwamba,
wawakilishi wa wananchadema wasio muanini Tundu Lisu ambao ni watia nia za uongozi katika uchaguzi mkuu wa octoba mwaka huu wanaojulikana kamag55,

wamedhihirisha wazi wazi tena kwa maandishi kwamba Lisu hatoshi kuiongoza chadema,
na agenda yake ya no reforms no elections ni useless, nonsense, null and void.

natamani sana kujua,
kwanini huyo muungwana haaminiki kwa wanachadema na anaonekana kama tu tapeli katika siasa?:NoGodNo:
 
anaaminika vema tu, we huoni no reforms, no election inavyopamba moto kwa wananchi wote?
wakati imepingwa na watia nia wenzake wote wa chadema wanaojianda kushiriki uchaguzi mkuu ujao kwa kugombe nafasi mbalimbali maeneo tofauti tofau nchini?

lakin hata wewe gentleman kama unafikiri vizuri,
kweli kuna no elections wakati unajianda kugombea uongozi kwenye elections hiyo hiyo?

huo sio utapeli kweli gentleman?:pedroP:
 
Ahahahaaaa safari hii kazi iliotoka Lumumba ni moja,wamesahau kila kitu wanacheza ngoma ya CDM
 
kumbe CDM ni ngoma gentleman? :pedroP:

huenda Lisu hajui wala hawezi kuimaba vizuri nyimbo za chadema ndio maana wanachadema wenzake wanamuona kama tapeli wa kisiasa asie aminika, right?:NoGodNo:
 
Utamtukana matusi yote, lakini nyie CCM na chawa wa mama kawashikeni pabaya kwelikweli.

NO REFORM, NO ELECTION
matusi tena gentleman?:pedroP:

yako wapi hayo mambo yasiyo ya kimaadili ili tuyaripoti panapohusika kwa hatua zaidi za kinidhamu?

halafu gentleman,
ningefurahi kuona maoni yako juu ya kwanini lisu haaminiki ndani ya chadema, na kwanini anaonekana kama tapeli katika siasa za Tanzania?:NoGodNo:
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Kwa sababu ni msaliti wa nchi yake pia anapigia upatu ushoga!
 
CHAWA NA MALAYA WA KISIASA KATIKA UBORA.Mwaka huu CCM wasipokupa U-DC utakuwa kama ndugu zako kina jingalao johnthebaptist USSR
gentleman,
majadiliano haya ya kisiasa hayalengi wala kuhusiana na mambo ya u-dc,
kama mtaalamu mbobevu na muandamizi katika siasa,
nitaendelea kudadavua mambo haya ya kisiasa kwa kina na bidii zaidi, huku pia nikiendelea kuwatumikia wananchi katika jimbo langu na waTanzani wote kwa ujumla kwa uaminifu mkubwa. :NoGodNo:
 
Wenyewe wamemwamini ndiyo maana walimchagua,, ss tuendelee na ya kwetu chama chetu cha CCM
lakini wawakilishi wa maelfu ya wanachadema wanaoitwa g55, wamedhihirisha wazi kwamba mwamba kafeli kuingoza chadema, unadhani ni kwa nini hawamuamini tena gentleman,

hakuna haja kuhitimisha hoja kwa maoni ya jumla jumla, ikiwa huna fikra mbadala comrade:NoGodNo:
 
Mpuuzi ww je wapigania uhuru wa Africa kusini hawakuacha wake zao na watoto hapa ,vipi kuhusu Mseveni?ujinga wa kutotafakari mambo unawapashida sana hao walipeleka watoto kwa ukatili wenu ,leo munageuza maneno ?ajabu hii munataka kila uchaguzi kuiba kwanini hamutengenezi demokrasia? Kazi wizi wizi na maneno ya shobo acheni ujinga leteni katiba bora ,tumehuru muone nani analalamika hapa ,kweli muzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
 
Nani huyo ambae hamuamin na ni nani anamuona tapeli ukiacha nyie chawa msio na vichwa na mikia iliyokwisha tembezwa bakora
gentleman,
ni g55 ambao ni wawakilishi wa maelfu ya wanachadema ambao pia watia nia wa urais, ubunge na udiwani kupitia chadema uchaguzi mkuu wa october ndio haswa wamekieleza chama kwa niaba ya wanachadema wengine kwamba lisu ameshindwa kuiongoza chadema na agenda ya no reforms no elections ni utapeli useless, nonsense, null and void agenda:NoGodNo:
 
Lissu anaaminika sana. Umefeli, lete.nyingine!
hakuna nyingine gentleman,
G55 ambo ni wawakilishi wa maelfu ya wanachadema wamemaliza kila kitu kwamba Lisu hatoshi na no reform no elections na agenda ya kitapeli:NoGodNo:
 
G55 lilikuwa kundi la wabunge wa CCM. Leo wanachadema kujiita G55 ni ishara ya kuonyesha namna gani walivyo na uCCM mwingi na kwa hiyo ni wasaliti wa mabadiliko ya kweli nchini.
 
Back
Top Bottom