Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

hakuna nyingine gentleman,
G55 ambo ni wawakilishi wa maelfu ya wanachadema wamemaliza kila kitu kwamba Lisu hatoshi na no reform no elections na agenda ya kitapeli:NoGodNo:
nyuma ya Lissu tupo zaidi ya G1,933,271 sasa nani zaidi hapo?
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Acheni chuki za wazi kwa binadamu wenzenu .

Haya maisha ni mafupi sana.
Mbowe wa mwaka 2005 alikua kijana sasa ni mzee na hasira za kizee zimejaa.
Kikwete wa mwaka 1995 aliyepata fursa za kuchukua fomu na kugombea akiwa kijana mdogo leo ni mzee asiyejali nchi zaidi ya uzee wake huku mkewe na watoto wakiwa majukwaani na huko na huko wakikimbizana na siasa na mishahara ya bungeni wakati nyumbanini kuna hazina ya mapesa. Yaani mzee Kikwete anapata hasira anapoona anaachwa peke yake nyumbani na wafanyakazi na simu yake twiter au mtandao wa X matokeo yake anazuiwa watu kuchukua form hasa vijana ili walete tija ya chama kupata kiongozi bora mwenye maono .

Lisu apewe muda kwa sababu amechaguliwa kidemokrasia . Kura hazipigwi na pesa zinapigwa na watu . Watu ndio wanaomtaka Lisu .
Usifikiri kukaa mbali na familia ni jambo rahisi hasa kwa wanawake wa kizazi cha karne hii wanaopenda ngono na starehe kuliko wanaume .
Unaweza ukakuta kuna mgogoro mkubwa ndani ya familia yake ilimshinikiza Arudi CCM au aachane na siasa ili asije akawaacha watoto yatima na yeye mjane.
Sasa kwa sababu Lisu ni Mteule wa Mungu ni lazima atimize lile Mungu anachotaka kifanyike Tanzania kwa zama hizi bila kujali maisha yake ,watoto wake na mke wake. Ndivyo ilivyokuwa kwa mitume wote ambao walikua mitume wa kweli kuanzia Ibrahimu baba wa imani . Aliyekaa miaka mingi bila kuzaa lakini hakuwa tamaa ya kuoa mke mwingine wala kuzaa nje ya ndoa mpaka mkewe alipomlazimisha kuzaa na mfanyakazi wake lakini haikua ni mapenzi yake .
Ibrahimu alipofika Misri alimkana mkewe kwa sababu ya Uhai wake ili atimize malengo ya Mungu .Ingekuwa ni wafia dini wa leo wangepambana kutetea mke mpaka wangeuawa na kumwacha mke akila raha na mfalme .
Tundu Lisu ni kati ya Wanasiasa wachache sana Afrika wenye akili nyingi sana kwa karne hii' iliyojaa wanasiasa waoga ,mafisadi,wabinafsi na wapenda starehe na anasa .

Hakuna chama kilichokuwa kwa Kasi kama ACT Wazalendo .Zito kabwe hakuwa Tajiri lakini alikua na akili kubwa kama alivyo Tundu Lisu.

Mshaurini tu Mbowe kuwa asipoangalia zitaporomoka kisiasa kwa sababu ya Chuki kubwa aliyo nayo .

Msikilize Lema utajua ni kwa nini Lisu aliamua kugombea Uenyekiti. Mbowe ndiye aliyewageuka wenzake . Nafikiri uzee umeanza kumnyemelea Mbowe .

Wakati Mbowe alipokuwa Mwenyekiti Lisu alikiigania chama kwa nguvu zake zote na hakutumia Elimu yake kubwa na akili yake kukisaliti chama na kununuliwa na CCM kama akina Kafulila leo ni mabilionea kama Mbowe . Lisu alitafutwa sana na tawala za CCM kuliko Mbowe kwani kwa Elimu ya DJ Mbowe hata angerudi CCM bado hana tija kubwa labda apate uteuzi wa ukuu wa mkoa au wilaya basi lakini Lisu ana Elimu kubwa huenda hata angefikia ujaji au Mwanasheria mkuu wa serikali au Waziri wa sheria au Vyovyote vile maana anauwezo mkubwa kiakili na kitaaluma .
Lisu hakuangalia maslahi yake alipigania chama peke yake wakati wa Magufuli mpaka akapigwa risasi ( tuseme tu mpaka akauawa ) .Hata bada ya Mungu kumnusuru lakini bado akiwa kitandani aliendelea kukipigania Chama . Akanyimwa pesa za matibabu ili akae kimya lakini bado alipaza sauti kukipigania chama . Chadema ikakosa umaarufu kabisa maana Magufuli alikua ameanza kuwa midomoni mwa watu wanyonge ambao ndio wengi. Mbowe akapoteza umaarufu,Samia hakusikika kabisa ,Kikwete akapoteza umaarufu , Mwigulu akapoteza umaarufu, Chadema ikawa haina mvuto kwa sababu wengi walijawa na woga . Lisu alionekana kupigania chama akiwa ugenini kwenye Televisheni na vyombo vya habari vya nje . Akabaki kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya JPM jambo lililoifanya Chadema imchague kuwa makamu wa mwenyekiti bila yeye kutangaza bali wanachama ndio walioonekana kumwamini.

Lisu akawa mtaji mkubwa wa Kisiasa kwa Chadema na 2020 Chadema chini ya Mwenyekiti Mbowe kikamteua kugombea Urais bila yeye kutangaza nia .
Bila shaka Intelijensia ya chama ndiyo iliyobaini umaarufu wa Tundu Lisu. Hakuna mtu aliyependa urais.
Ni kweli Mbowe ana pesa za familia lakini haingeweza kuwa sababu ya kuacha kugombea Urais 2020 na kung'ang'ania na Ubunge na Uenyekiti. Hao ni wazi kuwa Mbowe alibaini kuwa hana mvuto zaidi
 
huwezi kushindana na mtu aliyeshindikana kwa risasi! Lissu ni mpango wa Mungu kwa watanzania.
No reforms, No elections!
Achana nae huyu mpumbavu. Analipwa kuleta propaganda zake mfu humu.
 
Mpuuzi ww je wapigania uhuru wa Africa kusini hawakuacha wake zao na watoto hapa ,vipi kuhusu Mseveni?ujinga wa kutotafakari mambo unawapashida sana hao walipeleka watoto kwa ukatili wenu ,leo munageuza maneno ?ajabu hii munataka kila uchaguzi kuiba kwanini hamutengenezi demokrasia? Kazi wizi wizi na maneno ya shobo acheni ujinga leteni katiba bora ,tumehuru muone nani analalamika hapa ,kweli muzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
sasa ndugu muerevu,
punguza mihemko kidogo basi unapo toa stori na porojo zako za pata potea zisizohusiana na hija mahususi mezani.

kwanini lisu haaminiki ndani ya chadema na kulikoni anaonekana kama tapeli wa kisiasa Tanzania? very clear questions....lakini sasa una mbwelambwela tu na mihemko miiiingi, thats not okey gentleman,

by the way,
uchaguzi wa Tanzania utasimamiwa na tume huru ya uchaguzi iliyoundwa kwa mujibu wa katiba ya nchi na sio kwa makelele na mayowe ya matapeli na vibaka wa kisiasa nchini.

kamueleze na mwenyekiti wa chama chako huhusu hili gentleman :NoGodNo:
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni tapeli wa maisha Yako mwenyewe. Tanzania Ina mjinga namba moja ambaye ni wewe. Ulipoteza muda kwenda shule. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine.jinga kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
G55 lilikuwa kundi la wabunge wa CCM. Leo wanachadema kujiita G55 ni ishara ya kuonyesha namna gani walivyo na uCCM mwingi na kwa hiyo ni wasaliti wa mabadiliko ya kweli nchini.
kwahivyo G55 wamechochea lisu asiaminike ndani ya chadema,right gentleman?:NoGodNo:
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mwandishi unasema Llisu haaminiki ndani ya Chadema. Umesahau kuwa yeye ndiye mwenyekiti wao? Kama haaminiki hiyo angeipataje?
 
Wewe ni tapeli wa maisha Yako mwenyewe. Tanzania Ina mjinga namba moja ambaye ni wewe. Ulipoteza muda kwenda shule. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine.jinga kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
jikite kwenye hoja bila mihemko wala makasiriko gentleman,

kama huna point calm down tu na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela na porojo na stori za patapotea jukwaani:NoGodNo:
 
Hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali kuongozwa na Lissu. Kwa sasa wana CHADEMA hawamtaki kabisa huyo jamaa Mropokaji na aliyejaa utoto utoto
 
Mwandishi unasema Llisu haaminiki ndani ya Chadema. Umesahau kuwa yeye ndiye mwenyekiti wao? Kama haaminiki hiyo angeipataje?
Gentleman,
G55 ambao ni watiani wa chadema wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, wamemlazimisha Lisu mpaka nae akaamua kuandika barua kwa katibu mkuu wa chadema taifa kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na atashiriki kikamilifu uchaguzi wa october mwaka huu,

Je,
useless na nonsense agenda ya no reform no elections ndio imeyeyukia hapo na ndio imefanya lisu asiaminike ndani ya chadema?

maana the gentleman will be on ballot in October elections, unalizungumziaje hili jambo lenye sura ya kitapeli?:NoGodNo:
 
gentleman,
ni g55 ambao ni wawakilishi wa maelfu ya wanachadema ambao pia watia nia wa urais, ubunge na udiwani kupitia chadema uchaguzi mkuu wa october ndio haswa wamekieleza chama kwa niaba ya wanachadema wengine kwamba lisu ameshindwa kuiongoza chadema na agenda ya no reforms no elections ni utapeli useless, nonsense, null and void agenda:NoGodNo:
Wewe unachukua hoja za warafi wenzio waliojifunika koti la chadema unazifanya kua mtazamo wa Watanzania. Matako kweli wewe😂
 
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?

Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?

Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Andiko la kijinga Hadi CCM wenyewe wanakushangaa
 
Kwa kumkalisha Mh Mbowe licha ya nguvu kubwa aliyokuwa akipewa na CCM hayo uyasemayo ni CHUKI ZAKO TU.
 
Andiko la kijinga Hadi CCM wenyewe wanakushangaa
Gentleman,
ni muhimu uakaja na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani,

kuja na mihemko pekeyake jukwaani ni useless na completely nonsense:pedroP:
 
Mtahangaika sana safari hii, matapeli wa siasa washajulikana, msituone wananchi mafala. Bora chama kife kuliko wachache kupitia wananchi wanufaike na siasa kmmk. Mbowe na genge lake walikua wanafanya biashara ya siasa.
 
Back
Top Bottom