4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Kuna hoja gani sasa ,ninachokiona ni moyoe tu , hamna kituJukite kwenye hoja mahususi mezani gentleman, huna haja ya kuhitimisha mijadala kwa uchepushaji hoja 🐒
Kuna hoja gani sasa ,ninachokiona ni moyoe tu , hamna kituJukite kwenye hoja mahususi mezani gentleman, huna haja ya kuhitimisha mijadala kwa uchepushaji hoja 🐒
Haaminiki wakati kashinda uchaguzi na anaungwa mkono na wanachama wengi zaidi?Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Halafu my friends, ladies and gentlemen, Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.
Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema.
Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi? which is which there my friends, ladies and gentlemen?
Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
sote ni mashuhuda,Haaminiki wakati kashinda uchaguzi na anaungwa mkono na wanachama wengi zaidi?
Huna akili kabisa wewe.
Hivi ajenda ni ya Chadema au Lissunadhani iko wazi my lady, kwamba,
wawakilishi wa wananchadema wasio muanini Tundu Lisu ambao ni watia nia za uongozi katika uchaguzi mkuu wa octoba mwaka huu wanaojulikana kamag55,
wamedhihirisha wazi wazi tena kwa maandishi kwamba Lisu hatoshi kuiongoza chadema,
na agenda yake ya no reforms no elections ni useless, nonsense, null and void.
natamani sana kujua,
kwanini huyo muungwana haaminiki kwa wanachadema na anaonekana kama tu tapeli katika siasa?![]()
Lissu haaminiki, nasikia kwako! CHADEMA haishiriki uchaguzi, ila nchi mzima inaongelewa hiyo na wito wao wa hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi. Yuko mahabusu, ila vyama vingine hawalali ni kumuongelea yeye tu! Kama huna imani naye, kuna uwezekana mkawepo baadhi yenu, ndio demokrasia, hulazimishwi kuwa na imani na kumfuata mtu.Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?