Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

We usiemuamini ndo utupe sababu.
Wakati kijana lissu alimwambia huyu atamwoa baadaye akagundua hafai. Akaacha mwoa basi ndo chuki yake mpaka leo ipo hivyo analala ana mwota lissu anaamka anamuwaza lissu. Akigeuka huku lissu akiinama lissu, akichali lissu. Mumwelewe tu.
 
Ebu toa Usenge hapa, Pelekea Mama hizo habari.
gentleman,
calm down tu,
si uwaeleze wadau japo point moja tu kwamba kanini Lisu anaonekana kama tapeli wa kisiasa ndani ya chadema?:NoGodNo:
 
na kwanini makelele na uropokaji wa huyo muungwana huwa unapuuzwa hadi na wanachadema wenyewe hususna g55?:pedroP:
Maumivu haya yameufikia ukoo wote. Wale waliobadilisha ukoo na kujificha CHADEMA maumivu yamewafikia.
Maumivu hayana siri mzee lazima ubwabwaje!🤣🤣🤣
 
Watu wa kazuramimba hamnaga akili vya Bure hivyo mnavyo vihusudu subilini mpo kupakwa mafuta
gentleman,
bila makasiriko waeleze wadau ikiwa unafahamu ni kitu gani kimefanya lisu asiaminike ndani ya chadema?:NoGodNo:
 
Maumivu haya yameufikia ukoo wote. Wale waliobadilisha ukoo na kujificha CHADEMA maumivu yamewafikia.
Maumivu hayana siri mzee lazima ubwabwaje!🤣🤣🤣
kwahiyo muungwana ameumia sana baada ya kupingwa na G55?:pedroP:

ataanza kuwavua uanachama lini sasa kwa mfano?:pedroP:
 
gentleman,
bila makasiriko waeleze wadau ikiwa unafahamu ni kitu gani kimefanya lisu asiaminike ndani ya chadema?:NoGodNo:
Kakundi kawahuni wale wataka madaraka ndio unasema lisu haminiki acha utoto
 




Mkuu lisu siyo mmeo wako ni vyema na haki ukafanya mambo ya familia yako
 
lakini wawakilishi wa maelfu ya wanachadema wanaoitwa g55, wamedhihirisha wazi kwamba mwamba kafeli kuingoza chadema, unadhani ni kwa nini hawamuamini tena gentleman,

hakuna haja kuhitimisha hoja kwa maoni ya jumla jumla, ikiwa huna fikra mbadala comrade:NoGodNo:
Usimwamini sana binadamu muda wowote na sekunde yoyote wanageuka utafikiri feni za kichina
 




Mkuu lisu siyo mmeo wako ni vyema na haki ukafanya mambo ya familia yako
relax na ujikite kwenye hoja bila mihemko gentleman,

ni muhimu zaidi pia kuwaheshimu wadau wa JF hata kama huna hoja:NoGodNo:
 
Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Halafu my friends, ladies and gentlemen, Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi? which is which there my friends, ladies and gentlemen?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kama TAL angekuwa haaminiki angepata wapi kura zile zilimuondoa FAM na genge lake?
 
wakati imepingwa na watia nia wenzake wote wa chadema wanaojianda kushiriki uchaguzi mkuu ujao kwa kugombe nafasi mbalimbali maeneo tofauti tofau nchini?

lakin hata wewe gentleman kama unafikiri vizuri,
kweli kuna no elections wakati unajianda kugombea uongozi kwenye elections hiyo hiyo?

huo sio utapeli kweli gentleman?:pedroP:
Huo ni ujanja janja,ni kama misemo ya sikatai na sikubali.
Lakini itawagharimu sana.
Wakiamua kuwalegezea G55 hawataeleweka kwa wanaharakati akina Mary Sarungi.
Wakiamua kuendelea kutetea no reform no election wasaka tonge watakimbilia vyama vingine ikiwemo CCM
Wakiamua kukaa kimya wataadhibiwa na wanachama wake kwenye saduku la kura.
Lakini wakiamua kuitisha mkutano mkuu wa dharura kuhusu nini kifanyike washiriki au wasishiriki inaweza ikawapa matumaini safu mpya uongozi.
 
G55 lilikuwa kundi la wabunge wa CCM. Leo wanachadema kujiita G55 ni ishara ya kuonyesha namna gani walivyo na uCCM mwingi na kwa hiyo ni wasaliti wa mabadiliko ya kweli nchini.
Wakati huo chama kilikuwa kimmoja lakini kundi la vijana machachali likapitisha hoja ya serikali tatu na ikapita bungeni.
Mara Mwl Nyerere tena akiwa mstaafu wa uraisi na uwenyekiti wa CCM, akalikoroga akapewa penalty Mwl.akafunga goli la mkono serikali tatu zikazamishwa.Wote wakacheka isipokuwa Waziri Mkuu John Malechela alifukuzwa kazi,na Katibu Mkuu wa CCM Horace Kolimba nae akafukuzwa kazi.Nyerere akamalizia kuwatungia kitabu.
 
Huo ni ujanja janja,ni kama misemo ya sikatai na sikubali.
Lakini itawagharimu sana.
Wakiamua kuwalegezea G55 hawataeleweka kwa wanaharakati akina Mary Sarungi.
Wakiamua kuendelea kutetea no reform no election wasaka tonge watakimbilia vyama vingine ikiwemo CCM
Wakiamua kukaa kimya wataadhibiwa na wanachama wake kwenye saduku la kura.
Lakini wakiamua kuitisha mkutano mkuu wa dharura kuhusu nini kifanyike washiriki au wasishiriki inaweza ikawapa matumaini safu mpya uongozi.
Tundu Lisu ni sikatai na sikubali 🤣
 
Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?

Halafu my friends, ladies and gentlemen, Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?

Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.

Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema.

Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi? which is which there my friends, ladies and gentlemen?

Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe na wenzako kama chawa mbona amuaminiki , wanaoaminiwa wapo kwenye viyoyozi nyie mayoe kila siku
 
Wewe na wenzako kama chawa mbona amuaminiki , wanaoaminiwa wapo kwenye viyoyozi nyie mayoe kila siku
Jukite kwenye hoja mahususi mezani gentleman, huna haja ya kuhitimisha mijadala kwa uchepushaji hoja 🐒
 
Back
Top Bottom