unadhani nini kinafanya lisu asiaminike tena chadema?Mtahangaika sana safari hii, matapeli wa siasa washajulikana, msituone wananchi mafala. Bora chama kife kuliko wachache kupitia wananchi wanufaike na siasa kmmk. Mbowe na genge lake walikua wanafanya biashara ya siasa.

Ile 1.2B ndio inatafutiwa namna ya kulipwa maana plan A haikufanikiwa.kupitia g55 ambao ni wawakilishi wa wanachadema,
imedhihirika lisu hakubaliki chadema pamoja na agenda zake,
unadhani ni kwanini hali hiyo imedhihirika gentleman ?![]()
Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?
Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?
Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.
Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.
Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?
Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wenyewe wamemwamini ndiyo maana walimchagua,, ss tuendelee na ya kwetu chama chetu cha CCM
Mwanaume aliekuoa kala hasaraNi kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?
Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?
Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.
Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.
Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?
Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Huyu jamaa utakuwa unamuota sana, si bure. Naona anawapelekea moto vizuri.Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?
Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?
Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.
Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.
Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?
Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
relax gentleman ikiwa huna hoja dhidi ya bandiko mahususi mezani,We dogo Majizi ya Ccm yanakupa posho za elfu tatu tatu basi unaona umeyapatia sana maisha hata ukikurupuka saa 8 usiku unaleta uzi wa kichawa
,Hakuna cha hoja acheni Uchoko kwenye Mambo serious njaa zenu zisituharibie nchi yetu. 😂hakuna haja ya mihemko gentleman,
ikiwa huna hoja si ukae kimya tu kamanda![]()
Hapo zimeminywa kidogo. Jamaa akiongeza kelele zitasikika mpaka kwa majirani.Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?
Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?
Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.
Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.
Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?
Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kaulize nyamongo watakusimulia mambo ya jamaa au Anna makinda kipindi ni spika wabunge afu unaweza kuwa kitoto Cha elfu mbili wewe napoteza energy Bure kiandika humuSAMAHANI MKUU, NI NJIA IPI UNAYOIKUSUDIA? UNAWEZA KUTOA MIFANO KIDOGO LABDA HUYO LISSU ALIWAHI KUFANIKIWA KTK LIPI KUTOKANA NA MISIMAMO YAKE YA KUSHUPAZA SHINGO DHIDI YA SERIKALI?
Huyo Lissu hamuwezi kama mlimshindwa kwa risasi hamtaweza kwa propaganda za kijinga,Fanyeni mabadiliko kura zetu ziheshimiwe acheni uzushi na uongo chawa nyie.Ni kwasababu mwili wake tu ndio uko Tanzania, bali akili na moyo viko ng'ambo yalipo makazi yake na familia yake na ndiyo maana anatembea na tiketi ya ndege kila aendako?
Au ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Au ni kwasababu ya hulka za visasi na ukatili alizonazo yeye mwenyewe na msaidizi wake dhidi ya wanachadema wenye mitazamo na maoni tofauti na yao juu ya masuala mballimbali ndani ya chadema?
Halafu my friends, ladies and gentlemen,
Tundu Lisu, ana muhadaa nani hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Kwasababu ndugu wadau,
mtakumbuka mwaka jana huyu muungwana, aliwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba, hatagombea uenyekiti wa chadema taifa, lakin muda mfupi baadae akatangaza kuugombea uenyekiti ambao awali alisema hatagombea.
Lakini pia, mwaka huu,
hivi sasa anashawishi wanachadema kuzuia uchaguzi, huku yeye binafsi kisirisiiri kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kwamba ana nia ya kugombea urais kupitia chadema na kwahivyo atashiriki uchaguzi mkuu kikamilifu.
Hebu mniambie sasa,
hiyo no reform no elections ina maana gani na faida zipi, ikiwa unatangaza kuzuia uchaguzi na at the same time unajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi huo huo? which is which there my friends, ladies and gentlemen? Huo sio utapeli na hadaa za wazi wazi kwa wanachadema?
Je,
hii ndiyo inaweza kua sababu kubwa kwa Lisu kutoaminika na kukubalika ndani ya chadema na kupelekea agenda zake kupingwa na kupuuzwa na miongoni mwa wanachadema na wananchi kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Watu wa kazuramimba hamnaga akili vya Bure hivyo mnavyo vihusudu subilini mpo kupakwa mafutasasa wewe kama una njaa si utafute tumihogo kidogo utulize njaa na kachumbari?
kwanini lisu haaminiki chadema?
Ebu toa Usenge hapa, Pelekea Mama hizo habari.sasa wewe kama una njaa si utafute tumihogo kidogo utulize njaa na kachumbari?
kwanini lisu haaminiki chadema?
lakini G55 wamemlazimisha huyo tapeli wa kisiasa aikane hoja yake ya no refom no elections, na sasa atagombe na kushiriki uchaguzi mkuu kikamilifu, unalijua hilo gentleman?Huyo Lissu hamuwezi kama mlimshindwa kwa risasi hamtaweza kwa propaganda za kijinga,Fanyeni mabadiliko kura zetu ziheshimiwe acheni uzushi na uongo chawa nyie.
