Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise hata umuweke CAG lakn bado utaibiwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise hata umuweke CAG lakn bado utaibiwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafanikio yanachangamoto mnooKwa picha ya Duka lake inaonekana Ni biashara changa bado na kumuambia sijui CCTV sijui Software unamuongezea gharama bila sababu. Wabongo anakuja na vitu vyake anauza kwanza baadae ndio anauza vyako. Hizo Software hazigusi utakuta hesabu zipo sawa always
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanafanya yao kwanza ..we ukienda ndo wafanya Kazi zakohi ndio inaniumiza sana siku nitakayo tembelea mfano Mwanza nikaa Dukanii mweyewe siku nzima basi mauzo yanaongezeka mara mbili ya mauzo ya wafanyakazi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nimecheka sana ,Ila umetoa somo Shukrani...[emoji120][emoji120]Mkuu usiombee!
Nilikuwa nafanya kazi na dogo mmoja nauza spare na oils,sasa siku moja akaja jamaa nilikumbuka kumuona sana akija kufanya manunuzi pale dukani so nikawa nimekariri bidhaa anazopenda kuchukua mara kwa mara ila siku hiyo akaja akataka bidhaa tofauti na alizozoea,(kwangu halikuwa tatizo)tatizo ni bidhaa aliyoagiza mbona carton yake ikaonekana nzito sana isivyo kawaida?
Normally,carton ya oil zile litre moja moja uzito wake hauzidi Kg10/12 but nikashangaa mbona hili boksi alilotoa huyu dogo linaonekana zito ameinua hadi mishipa ya shingo imemtoka na amelifunga kamba katikati?siyo kawaida kabisa box jepesi kufungwa kamba(ukweli sikuelewa na ilikuwa ni bahati yangu tu)nikamwambia weka hilo box chini,akashtuka ohh bro unajua jamaa ana haraka sana nikamuuliza ana haraka mbona unamsemea wewe yeye hajasema mwenyewe?kuinua macho namuona jamaa yule mteja anavuka mtaa anakimbia na hela yake kaacha,nikajiuliza inakuwaje hapa?sijakaa sawa yule dogo akatoka mle ndani speed alikoswa koswa kugongwa na pikipiki.
Kwa ufupi,alikuwa amejaza spare battery terminals zile za gari kubwa zenye thamani ya Tsh 680,000/= kwenye boksi ya oil yenye thamani ya Tsh 56,000/= ambayo ndo nilikuwa nimelipwa mkononi!!utauwa mtu!!!mimi sasa hivi kama sipo office haifunguliwi acha nipate hasara ya siku kuliko kuamini tena mtu.
Wahindi ndio kiboko yetu. Micromanaging style. Kuna jamaa walimfuma anawaibia wakaishia kumla[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanafanya yao kwanza ..we ukienda ndo wafanya Kazi zako
Pole sana mkuuMkuu usiombee!
Nilikuwa nafanya kazi na dogo mmoja nauza spare na oils,sasa siku moja akaja jamaa nilikumbuka kumuona sana akija kufanya manunuzi pale dukani so nikawa nimekariri bidhaa anazopenda kuchukua mara kwa mara ila siku hiyo akaja akataka bidhaa tofauti na alizozoea,(kwangu halikuwa tatizo)tatizo ni bidhaa aliyoagiza mbona carton yake ikaonekana nzito sana isivyo kawaida?
Normally,carton ya oil zile litre moja moja uzito wake hauzidi Kg10/12 but nikashangaa mbona hili boksi alilotoa huyu dogo linaonekana zito ameinua hadi mishipa ya shingo imemtoka na amelifunga kamba katikati?siyo kawaida kabisa box jepesi kufungwa kamba(ukweli sikuelewa na ilikuwa ni bahati yangu tu kama ningekuwa bize ningeshaisha)nikamwambia weka hilo box chini,akashtuka ohh bro unajua jamaa ana haraka sana nikamuuliza ana haraka mbona unamsemea wewe yeye hajasema mwenyewe?kuinua macho namuona jamaa yule mteja anavuka mtaa anakimbia na hela yake kaacha,nikajiuliza inakuwaje hapa?sijakaa sawa yule dogo akatoka mle ndani speed alikoswa koswa kugongwa na pikipiki.
Kwa ufupi,alikuwa amejaza spare battery terminals zile za gari kubwa zenye thamani ya Tsh 680,000/= kwenye boksi ya oil yenye thamani ya Tsh 56,000/= ambayo ndo nilikuwa nimelipwa mkononi!!utauwa mtu!!!mimi sasa hivi kama sipo office haifunguliwi acha nipate hasara ya siku kuliko kuamini tena mtu.
Hakika nimepata darasa mkuu asante kwa hili JF idumu mileleMkuu usiombee!

Tumia inventory stock card au sock book...tafuta muhasibu au store keeper alie muaminifu mpe hyo kazi ya kucontrol hzo documents...
Uzuri wewe unauza kwa jumla itakupa uwepesi wa kujua movement ya stock yako....
Hakikisha stock movement inaendana na cash movement..
Usiruhusu mzigo uingizwe store bila kufunga hesabu....pia unavyo uza au kununua mzigo tumia risiti halali...
Hongera mzee...ukikwama nipo tayar kukusaidia.
Hapo Kwenye kupata store keeper mwaminifu ndo changamoto ilipo ......Maisha ya sahv kila mtu anataka kutoka .( Kuwa na maisha mazur) hii tamaa ndo inafanya watu wanakua sio waaminifu ... Wanaweza wakawa hawamuibii jamaa ..ila wanakuja na vitu vyao wanauza ... Ili na wao wanufaikie ...Hii michezo ipo sanaTumia inventory stock card au sock book...tafuta muhasibu au store keeper alie muaminifu mpe hyo kazi ya kucontrol hzo documents...
Uzuri wewe unauza kwa jumla itakupa uwepesi wa kujua movement ya stock yako....
Hakikisha stock movement inaendana na cash movement..
Usiruhusu mzigo uingizwe store bila kufunga hesabu....pia unavyo uza au kununua mzigo tumia risiti halali...
Hongera mzee...ukikwama nipo tayar kukusaidia.
Hii ni hatari sana, wabongo usiwaamini hata kidogo linapokuja swala la biashara, ona saza hasara uliyokuwa unaenda kukutana nayo! bado mshahara ukichelewa kidogo wa kwanza kulalamika.Mkuu usiombee!
Nilikuwa nafanya kazi na dogo mmoja nauza spare na oils,sasa siku moja akaja jamaa nilikumbuka kumuona sana akija kufanya manunuzi pale dukani so nikawa nimekariri bidhaa anazopenda kuchukua mara kwa mara ila siku hiyo akaja akataka bidhaa tofauti na alizozoea,(kwangu halikuwa tatizo)tatizo ni bidhaa aliyoagiza mbona carton yake ikaonekana nzito sana isivyo kawaida?
Normally,carton ya oil zile litre moja moja uzito wake hauzidi Kg10/12 but nikashangaa mbona hili boksi alilotoa huyu dogo linaonekana zito ameinua hadi mishipa ya shingo imemtoka na amelifunga kamba katikati?siyo kawaida kabisa box jepesi kufungwa kamba(ukweli sikuelewa na ilikuwa ni bahati yangu tu kama ningekuwa bize ningeshaisha)nikamwambia weka hilo box chini,akashtuka ohh bro unajua jamaa ana haraka sana nikamuuliza ana haraka mbona unamsemea wewe yeye hajasema mwenyewe?kuinua macho namuona jamaa yule mteja anavuka mtaa anakimbia na hela yake kaacha,nikajiuliza inakuwaje hapa?sijakaa sawa yule dogo akatoka mle ndani speed alikoswa koswa kugongwa na pikipiki.
Kwa ufupi,alikuwa amejaza spare battery terminals zile za gari kubwa zenye thamani ya Tsh 680,000/= kwenye boksi ya oil yenye thamani ya Tsh 56,000/= ambayo ndo nilikuwa nimelipwa mkononi!!utauwa mtu!!!mimi sasa hivi kama sipo office haifunguliwi acha nipate hasara ya siku kuliko kuamini tena mtu.
Huo ni mfumo ambao unaweza ukauandaa Kwenye makaratasi yako au kitabu chako...ni mfumo ambao unaonyeaha mzigo ulivyonunuliwa,ulivyouzwa na uliobaki store in term of (unit,price & amount)...Asante sana mkuu, naomba utufafanulie hiyo inventory stock card ni system inayowekwa kwenye computer au ni nini?
Yaani tupe maelezo yaliokamilika. Shukraani
Camera ni kwa ajili ya kuona activities na Inventory software ni kwa ajili ya kuona mabadiliko ya mauzo. Ukifuatilia Camera na mauzo kwa siku unaweza kuona correlation kama umepigwa au la.Hizi mifumo nyingi ambayo imetajwa hapa wala sio suluhu maana bado kujaza record inakua ni option .... the only system ambayo unaeza ku assure safety hata kama sio kwa kuongeza layers nyingine za uaminifu basi inabidi iwe inafanya kazi kama ATM vile unaweka card inatoa items as requested.
NB: mimi nimefanya hizi software za inventory na za sales so nime interact na wateja wengi tu ambapo wengine ni makampuni makubwa tu ... ndo maana unakuta mtu kafunga camera na bado anatumia softwares.
Hahaha wakambandua mkuu?Wahindi ndio kiboko yetu. Micromanaging style. Kuna jamaa walimfuma anawaibia wakaishia kumla
MmhHahaha wakambandua mkuu?
Mzigo unaoenda store ingiza kwenye kompyuta au laptop hakikisha kila unachouza kutoka store uningia kwenye laptop unatoa ili kuweka kumbukumbu sawa alafu mwisho wa wiki au mwezi zama store na kiweka kumbukumbu chako piga hesabu kilichopo na kilichotoka kwa mfumo huo wezi kila siku unawadaka. Nikupe mfano rahisi.Hello JF,
Moja kwa moja kwenye bandiko
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja.
Hivyo kutokana na biashara kukua nimefungua zaidi ya maduka 4 ya jumla katika mikoa ya Tanga Arusha Mwanza
Dar ndio mean Office ilipo
Biashara ambazo nazi-manege
Tomato, pemepers biscuits, kalamu, Super Grue, madaftari, pipi Big G, nk.
Changamoto ipo kwenye kulinda wafanyakazi wasiibie sana hadi kupelekea biashara kufa
Je, ni mifumo gani ya ulinzi niiweke ili kulinda Mahesabu pamoja na store?