Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafanikio yanachangamoto mnoo
 
hi ndio inaniumiza sana siku nitakayo tembelea mfano Mwanza nikaa Dukanii mweyewe siku nzima basi mauzo yanaongezeka mara mbili ya mauzo ya wafanyakazi....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanafanya yao kwanza ..we ukienda ndo wafanya Kazi zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nimecheka sana ,Ila umetoa somo Shukrani...[emoji120][emoji120]
 
[emoji44][emoji44][emoji44] Pole sana mkuu
 
Tumia inventory stock card au sock book...tafuta muhasibu au store keeper alie muaminifu mpe hyo kazi ya kucontrol hzo documents...

Uzuri wewe unauza kwa jumla itakupa uwepesi wa kujua movement ya stock yako....

Hakikisha stock movement inaendana na cash movement..

Usiruhusu mzigo uingizwe store bila kufunga hesabu....pia unavyo uza au kununua mzigo tumia risiti halali...

Hongera mzee...ukikwama nipo tayar kukusaidia.
 
Hakika nimepata darasa mkuu asante kwa hili JF idumu milele
 

Asante sana mkuu, naomba utufafanulie hiyo inventory stock card ni system inayowekwa kwenye computer au ni nini?

Yaani tupe maelezo yaliokamilika. Shukraani
 
Hapo Kwenye kupata store keeper mwaminifu ndo changamoto ilipo ......Maisha ya sahv kila mtu anataka kutoka .( Kuwa na maisha mazur) hii tamaa ndo inafanya watu wanakua sio waaminifu ... Wanaweza wakawa hawamuibii jamaa ..ila wanakuja na vitu vyao wanauza ... Ili na wao wanufaikie ...Hii michezo ipo sana
 
Hii ni hatari sana, wabongo usiwaamini hata kidogo linapokuja swala la biashara, ona saza hasara uliyokuwa unaenda kukutana nayo! bado mshahara ukichelewa kidogo wa kwanza kulalamika.
 
Asante sana mkuu, naomba utufafanulie hiyo inventory stock card ni system inayowekwa kwenye computer au ni nini?

Yaani tupe maelezo yaliokamilika. Shukraani
Huo ni mfumo ambao unaweza ukauandaa Kwenye makaratasi yako au kitabu chako...ni mfumo ambao unaonyeaha mzigo ulivyonunuliwa,ulivyouzwa na uliobaki store in term of (unit,price & amount)...

Pia ni mfumo ambao unasaidia kutafuta closing stock na opening stock kwa wepesi zaidi..

Huu mfumo ni mzuri sana ila unahitaji mtu smart kuweza kuu control...

Ukiwa ina inventory stock card na cash book kwa pamoja hakuna atakayeweza kukupiga Kwenye bidhaa zako wala pesa zako.
 
Hizi mifumo nyingi ambayo imetajwa hapa wala sio suluhu maana bado kujaza record inakua ni option .... the only system ambayo unaeza ku assure safety hata kama sio kwa kuongeza layers nyingine za uaminifu basi inabidi iwe inafanya kazi kama ATM vile unaweka card inatoa items as requested.

NB: mimi nimefanya hizi software za inventory na za sales so nime interact na wateja wengi tu ambapo wengine ni makampuni makubwa tu ... ndo maana unakuta mtu kafunga camera na bado anatumia softwares.
 
Camera ni kwa ajili ya kuona activities na Inventory software ni kwa ajili ya kuona mabadiliko ya mauzo. Ukifuatilia Camera na mauzo kwa siku unaweza kuona correlation kama umepigwa au la.

Hakuna silver bullet hapo. Ila strict procedure za kutoa mzigo stoo na kuingiza dukani na kuutoa kwa supplier kuja dukani na Camera inayoangalia mlangoni na kwenye vitu inatosha kabisa kuzuia asilimia kubwa ya wizi

Mlangoni itazuia mtu asiingie na stock yake ya kuuza na ile ya kuangalia bidhaa itakuonyesha bidhaa gani zimeuzwa.

Kusema sio suluhu inabidi ueleze ni kivipi.
 
Naona mpaka Sasa....jamaa hajapata mbinu sahihi...,....wapo waliosema mifumo,wengine camera.....zote zinamapungufu......kifupi binadamu ameshindikana.
 
Mzigo unaoenda store ingiza kwenye kompyuta au laptop hakikisha kila unachouza kutoka store uningia kwenye laptop unatoa ili kuweka kumbukumbu sawa alafu mwisho wa wiki au mwezi zama store na kiweka kumbukumbu chako piga hesabu kilichopo na kilichotoka kwa mfumo huo wezi kila siku unawadaka. Nikupe mfano rahisi.

Kama uko Dar. Nenda k.koo angalia wahindi wanavyofanya hata hutomwina akihangaika na mfanya kazi kumfuata store utaona anampa ufunguo wa store anamtuma bila wasiwas yeye anadili na mashine yake ya kumbukumbu. Fanya hivyo utakuja kunishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…