Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nilikuwa nakwepa Sana kukuita mjinga.We ndo kiazi , kwamba University of Dar es salaam Best Students wote wanapaswa kwenda BOT kila mwaka hata kama katoka kozi ya petroleum au engineering. Soma alichoandika huyo niliyem-quote sio unakurupuka mkuu.
Ndio hawapo kwa asilimia Mia moja, vijiti vya 3 Tanzania vinatoka PCM na PCB, na ndio maana Tanzania one wote wanatokeaga PCM au PCB.Kwa akili yako finyu unadhani huko udbs hakunaga waliopiga vijiti vya 3?
hata MUHAS ilikua na shule ya UDSM mkuu,. Kudadeki now ni chuo kikuuu kamili .
Kwa ninavyo elewa BOT huwa wanatoa scholarship kwa kozi yeyote ile, iwe Engineering, natural science au from businessWe ndo kiazi , kwamba University of Dar es salaam Best Students wote wanapaswa kwenda BOT kila mwaka hata kama katoka kozi ya petroleum au engineering. Soma alichoandika huyo niliyem-quote sio unakurupuka mkuu.
Hujui kuwa best performer ni connection ya ajira usiwaze kizamani.Kwani ajira ameishapata au anataka tu heshima ya best performer?
hiyo ilikua ni zamani, mkuu sio kipindi hiki. Ma best performer kibao tupo nao mtaani saivi tunazisoma namba.Hujui kuwa best performer ni connection ya ajira usiwaze kizamani.
Niwekee ushahidi kuwa udbs hakunaga 1.3 mkuu..afu pia inabidi uelewe hata hao PCM na pcb wanaruhusiwa kusoma course za udbs.Ndio hawapo kwa asilimia Mia moja, vijiti vya 3 Tanzania vinatoka PCM na PCB, na ndio maana Tanzania one wote wanatokeaga PCM au PCB.
Kama vipo basi ni ule wastani mdogo mdogo.
REFERENCE
Matokeo ya form six kila mwaka.
Hujui kuwa best performer ni connection ya ajira usiwaze kizamani.
kuwa mtaani haimaanishi kuwa kuwa best performer si connection mkuu.hiyo ilikua ni zamani, mkuu sio kipindi hiki. Ma best performer kibao tupo nao mtaani saivi tunazisoma namba.
kuwa mtaani haimaanishi kuwa kuwa best performer si connection mkuu.
minilipiginga mawazo yakudhani kulilia u best performer ni kama haina faida ni sifa tu kitu ambacho sikweli kuwa best performer apart from sifa pia ina act kama connection.
Chukua Pepsi bigi nitalipa.Chuo kikuu Udsm ni kikubwa mno na college/ School zaidi ya kumi yeye amajuaje kama yeye ndo wa kwanza?
Binafsi sioni pia kama kuna ulazima wa kutangazwa, Chuo kimeisha,ni wakati wa kuja kuprove iyo GPA yake kwa ground.
uzuri wa kwa ground hauna haja kupambana kutangazwa, akiweza kuiprove tutamjua. exceptional people are very few.
Huyu si anatafuta platform ya kuonesha best performance mtaani. Kama alitaka kufanya kazi benki akipewa tuzo ya best student lazima imbebe kwenye ajira na ndio uko akaoneshe makeke.Mimi naona nikawaida tu. Jambo la msingi ni kuwaza kuonyesha ubest performer wako kwenye jamii na sio kutegemea connection.
Kwamba jamii itamuajiri au π π Jf banaMimi naona nikawaida tu. Jambo la msingi ni kuwaza kuonyesha ubest performer wako kwenye jamii na sio kutegemea connection.
Jiajiri mwenyewe kisha tatua, matatizo kwenye jamii. Jack Ma ameajiriwa?Kwamba jamii itamuajiri au π π Jf bana
Hii kutatua tatizo la jamii ujinga huu alianzisha nani, Tcc ni billions dollars company imetatua tatizo gani kwa jamii.Jiajiri mwenyewe kisha tatua, matatizo kwenye jamii. Jack Ma ameajiriwa?
Tatizo huna akili, akili yako ni tegemezi.Hii kutatua tatizo la jamii ujinga huu alianzisha nani, Tcc ni billions dollars company imetatua tatizo gani kwa jamii.
Wee bwana una Processor ngapi kichwani hivi umekielewa nilichoandika kweli maana ulichojibu controversial kabisa.Tatizo huna akili, akili yako ni tegemezi.
nina processor 18 zenye GB 800 kila moja ubongo wangu ni core i18, hard disk 100000000 GB, RAM 1000 GB.Wee bwana una Processor ngapi kichwani hivi umekielewa nilichoandika kweli maana ulichojibu controversial kabisa.